Elections 2015 Mfumo Utakao Muendesha Lowassa Ni Hatari Kuliko Mfumo Utakaomuendesha Magufuli

siku hizi kuna wachangiaji wapya kibao Jf haina ladha ya zamani watu hoja hawana tena, inasikitisha sana
 
kila wazo huwa na mantiki kwa wakati fulani then huwa ni wazo chakavu na kuja na wazo jipya kulingana na muda husika unataka nn...ndio maana hata vitabu huwa vina matoleo ya muendelezo (edition).tusiwe waoga wa kubadili chama nchi ngapi zimebadili na mambo yapo vizuri...hey guy wake up ww!!
 
Baki na msimamo wako nami nina wangu.nautaka huo huo mfumo hatari wa lowasa na nitampa kura yangu mapema tar 25
 
"Watanzania Wanataka Mabadiliko Wasipoyapata Wasipoyaona Ndan Ya Ccm Watayatafuta Nje Ya Ccm, Hivo Tuchagulien Rais Atakayekidhi Matakwa Ya Watanzania, Kwa Mujibu Wa Katiba Rais Anaweza Kutoka Chama Chochote Maana Ni Democrasia Ila RAIS BORA ATATOKA CCM," alisema mwl nyerere, tatizo huwa mnakata kipande tu, sasa mabadiliko ni kuhusu rushwa maendeleo na ujinga,
mfumo ulo mzunguka magufuli ni hatari ila bahat nzuri uo mfumo umejumuisha maskin wanaosaka ela kwa njia haramu ,kuna sheria inaweza kutumika kuwakemea maana uwezo wa kusimamia sheria na ni rahisi kuwadhibiti;
kuhusu mfumo ulomzunguka LOWASSA mfano karamagi, rostam azizi,mengi, sumaye, ndesambulo, ni mfumo hatari zaid sheria huwez kuitumia ukiwa huru maana ela yao imekuweka ikulu utaanzaje? mbowe, lissu, mnyika,sugu hawana ubavu wa kumzuia lowassa, weng wamempenda lowassa si chadema msijdanganye fanya uchunguz,
tunashukuru mabadiliko alosema mwalimu yalifanyika 12,7,2015. maana wangeendelea sanaa zilizomuweka kikwete madarakan yasingekuwa mabadilko
Unaongea pumba aisee; mfumo utakaomuendesha Lowassa ni katiba ya wananchi yenye maadili ya uongozi na ulinzi wa rasilimali za nchi. Mfumo utakaomungoza Magufuli umikataa katiba ya wananchi na hivyo usitumaini lolote zaidi ya kimbelembele cha kushughulikia wapinzani
orodha ya hao mapapa uliowataja haiko upinzani tafuta iliko
 
Tatizo tunadanganywa na wanasiasa tutapewa ajira Tunasahau "Unemployment ni janga la Dunia" Pambana ujiajiri kijana tatizo kila mtu anataka akae ofisini.. kinachotusumbua watanzania ni "Mawazo Mgando" (anayetuahidi ajira ndiye tutampa kura)....
 
tatizo sio mabadiliko, bali mabadiliko ya aina gani hasi na chanya nayo pia ni mabadiko tusijalibu kuliingiza taifa kwenye hatari ya kiuchumi kisa kufuata mikumbo chakua KIONGOZI
 
Ujaenda deep mikataba iliyo sainiwa na WACHINA unaifahamu? na ni mtu gani ndani ya ccm aliyemzuia?

Twiga kupanda ndege?

Na majina yote ya papa wauza madawa ya kulevya

Escro

Mikataba feki

big no! Lowassa atosha hutaki lia!
 
"Watanzania Wanataka Mabadiliko Wasipoyapata Wasipoyaona Ndan Ya Ccm Watayatafuta Nje Ya Ccm, Hivo Tuchagulien Rais Atakayekidhi Matakwa Ya Watanzania, Kwa Mujibu Wa Katiba Rais Anaweza Kutoka Chama Chochote Maana Ni Democrasia Ila RAIS BORA ATATOKA CCM," alisema mwl nyerere, tatizo huwa mnakata kipande tu, sasa mabadiliko ni kuhusu rushwa maendeleo na ujinga,
mfumo ulo mzunguka magufuli ni hatari ila bahat nzuri uo mfumo umejumuisha maskin wanaosaka ela kwa njia haramu ,kuna sheria inaweza kutumika kuwakemea maana uwezo wa kusimamia sheria na ni rahisi kuwadhibiti;
kuhusu mfumo ulomzunguka LOWASSA mfano karamagi, rostam azizi,mengi, sumaye, ndesambulo, ni mfumo hatari zaid sheria huwez kuitumia ukiwa huru maana ela yao imekuweka ikulu utaanzaje? mbowe, lissu, mnyika,sugu hawana ubavu wa kumzuia lowassa, weng wamempenda lowassa si chadema msijdanganye fanya uchunguz,
tunashukuru mabadiliko alosema mwalimu yalifanyika 12,7,2015. maana wangeendelea sanaa zilizomuweka kikwete madarakan yasingekuwa mabadilko

well said! Magufuli ni mgombea kupitia ccm ambae , atafanya watanzania wanachotaka na sio genge la wahujumu uchumi wanavyotaka, kwa sasa ccm imeamua kujibrand upya na kurudia misingi wakati upinzani wao wakiharibu hata kabla ya kushika dola
 
Unaongea pumba aisee; mfumo utakaomuendesha Lowassa ni katiba ya wananchi yenye maadili ya uongozi na ulinzi wa rasilimali za nchi. Mfumo utakaomungoza Magufuli umikataa katiba ya wananchi na hivyo usitumaini lolote zaidi ya kimbelembele cha kushughulikia wapinzani
orodha ya hao mapapa uliowataja haiko upinzani tafuta iliko

We Unaumwa Kabisa Yan Na Mshenga Anaachwa Wap?
 
well said! Magufuli ni mgombea kupitia ccm ambae , atafanya watanzania wanachotaka na sio genge la wahujumu uchumi wanavyotaka, kwa sasa ccm imeamua kujibrand upya na kurudia misingi wakati upinzani wao wakiharibu hata kabla ya kushika dola

Kwani Yale mafisadi ya escrow yapo wapi? rudisheni Pesa zetu kwanza ndiyo muimbe hizi taarabu zenu.Katiba mpya tena bora ndiyo kipaumbele chetu ili kulileta taifa pamoja na kudhibiti mafisadi na wala rushwa.Tutajenga mfumo mpya kupitia katiba ya wananchi na sio hizo porojo zenu magamba.Lowasa atoshaaassss
 
Hivi yule muhindi wa escrow yupo wapi, kamtafute ili uje utuconvice kuwa CCM inajibrand upya. Na utueleze ni kwanini mafisadi waliothibitika kama Mzee wa vijisenti, na wenzake bado wapo na wamekuwa nominated kugombea ubunge, hii branding ya kwenye mitandao ni usanii.
 
Mkimteua huku, mimi nahama. Wakimteua kule naenda kumwunga mkono. Mwaka huu wengi wameacha kutafakari mambo kwa undani, wamechochewa hasira kwa manufaa ya wapiga dili. Wengi ni vijana, hata wakionywa na wazee wanaendelea kuziba masikio, wanafikiri "Majuto ni mjukuu" ni kijana mwema! CHUKUA TAHADHARI.

hatua gani unazosema tuchukue wakati hali ya maisha ni ngumu hao wanaojinasibu toka mwaka 1977 wamefanya nini
 
Mbowe Hana Ubavu Wa Kumzuia Lowassa Kufanya Atakalo Maana Hata Mazingira Yaliyotumika Kumpatia Nafas Ni Ya Kutatanisha, Kitakachofanya Mbowe Akae Kimya Ni Hiki
1. Ataogopa Slaa Asiibuke Shujaa Kuonekana Ye Alipinga Mapema Lakin Mbowe Kagundua Baadae
2. Atamwambia Ela Ya Kampen Yote Nilotoa Nilipewa Na Flan Hvo Muachien
3. Kama Aliweza Kupuuza Katiba Ya Chama Dume Ccm Na Ya Nchi Kwa Baadh Ya Mambo Sembuse Katiba Ya Chadema Ambayo Utungwaj Wake Aueleweki Eleweki
 
Ujaenda deep mikataba iliyo sainiwa na WACHINA unaifahamu? na ni mtu gani ndani ya ccm aliyemzuia?

Twiga kupanda ndege?

Na majina yote ya papa wauza madawa ya kulevya

Escro

Mikataba feki

big no! Lowassa atosha hutaki lia!

Mabadiliko Tumeyaleta Kwa Kumkata Lowassa Maana Angeendelea Kuwakumbatia Hao, Sasa Atakuwa Nao Kwa Kuficha Uko Ukawa
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom