Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

Mkuu wangi huu ni msiba mzito kwa watanzania tatizo hawa wanasiasa wa Tanzania wanafanya haya wanajua watu makini wa kuhoji haya hamna ni mwendo wa nyumbu tu.
Ujuwe simba hakatizi kwenye kundi la nyumbu!!
Tuliyeni dawa inawaingia kidogo kidogo !!
 
Mie sioni kama.ukawa watashinda maana,anayebaki kugombea ccm msafi mara elfu ya edo na pia edo na washirika wake waanomfuata,ni kama sasa ndo wanakisafisha ccm,kwa sababu wpte waliokuwa wanayooshewa vidole wamepata kichaka kinaitwa Ukawa

Gamba linavuliwa live!!
 
Ni upumbavu zaidi, kuogopa kufanya mabadiliko hasa pale unapoona kuna haja na kila sababu ya kufanya hivyo kwa sababu ya pride(kuogopa kula matapishi yako).
Mabadiliko yapi unayaoongelea hivi Lowassa na Sumaye kutaka kuwaongoza watanazania ni mabadiliko ningekuelewa kama ningeona sura ngeni hapo kinachofanyika ni mabadilisho.
 
Walishindwaje kuwatumikia wananchi miaka 12 iliyopoita halafu waweze leo?
Kwa sababu walikuwa CCM. Hivi wewe ulitakaje? Wakate tawi walilokalia? meningitis, kama unaoga mtoni ukitaka kukauka, lazima kwanza utoke majini usogee kando ndio uanze kujikausha. Ni hayo tu ndugu yangu...kutoka kwao CCM si tu kunawapa sababu na uhuru wa mawazo pinzani, unawapa pia uwezo na uhalali wa uhuru huo.
 
Last edited by a moderator:

Well, Good luck.
 
huna lolote unafikiri ukawa bila watu kutoka ccm kuunga mkono juudi zao za miaka zaidi ya 20 wangeweza kushinda siasa ni watu sio misimamo kama ya al shababu
 
Mabadiliko yapi unayaoongelea hivi Lowassa na Sumaye kutaka kuwaongoza watanazania ni mabadiliko ningekuelewa kama ningeona sura ngeni hapo kinachofanyika ni mabadilisho.

Acha wafu wazikane...eti alitaka heshima baada ya kustaafu...yeye aliheshimu wananchi??
 
huna lolote unafikiri ukawa bila watu kutoka ccm kuunga mkono juudi zao za miaka zaidi ya 20 wangeweza kushinda siasa ni watu sio misimamo kama ya al shababu

Kwa nini hawajahamia TLP?
 
Kama amekiri hakua na umuhimu wowote kwenye CCm sasa aonyeshe kama atakua na umuhimu Ukawa.
 
tema mate 2wachape UKAWA toto eeeeh...wanatoka ktk mtope na kuingia maji safi...ni wasaf sasa una jingine wewe ndg
 
Mabadiliko yapi unayaoongelea hivi Lowassa na Sumaye kutaka kuwaongoza watanazania ni mabadiliko ningekuelewa kama ningeona sura ngeni hapo kinachofanyika ni mabadilisho.

Sumaye amekwambia anataka kugombea au amehamia hata ule muda wa kurudisha fomu ukiwa umekwisha pita? Unahitaji kwenda kuliona hilo?

Hakuna jipya mtakalo kuja nalo.

Akitoka nje ya CCM mtasema hana uzoefu na hafahamiki akitoka ndani ya CCM mnamponda while mlikuwa nae na mnasema bora kungekuwa na sura ngeni!

Upuuzi mtupu.
 
Ni Mungu amekufunulia hili kujua haya.
 
Kwa hiyo heading yako ni dhahiri umekubali kuwa UKAWA inaenda kuchukua nchi ifikapo 25 October
 
Ha ha ha walikuwa wapi miaka zaidi ya mitano iliyopita au tuseme kumi iliyopita?

Yaani wamebadilisha mawazo baada ya kukatwa halafu unataka nichekelee wataleta mabadiliko???

Tafsiri yangu kinachoendelea ni kama maandamano tu tena yasiokuwa na mpango.

Hivi sumaye ataenda kusimama Zanzibar na kumpigia debe Maalim seif??
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…