Mfumo KRISTO Umemponza Rostam Ndani ya CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfumo KRISTO Umemponza Rostam Ndani ya CCM?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Left Wing, Oct 21, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. L

  Left Wing Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM walitangaza Kuvuana Magamba Kukinusuriu Chama, kwa Kuanzia Wakawapoint wananchama wake Watatu kwamba Ndiyo Magamba Ndani ya Chama na kwamba wakijivua Uanachama pamoja na Nafasi zao zote basi Chama Kingerudi enzi za Kambarahe Nyerere yaani " Chama Cha Wakulima na Wafanyakazi". Ikatjitokeza Timu ya Wana CCM "WATAKATIFU" Wakiongozwa na Nape Kuzunguka Nchi Nzima na kutuelezea Wanachama wake Ubaya wa Rostam ( Kama Gamba Kuu), Chenge na Lowasa, wakasema kwamba Jamaa wamepewa siku Tisini (90) wapimime wenyewe la Sivyo Chama kingechukua Hatua.

  Timu ifuatayo kwa Nyakati Mbalimbali Ilizunguka Nchi Nzima Kuelezea Gamba na Nani Magamba Ndani ya CCM

  1. Samwel Sita
  2. Nape Nnauye
  3. Wilson Mukama
  4. John Chiligati
  5. Mwigulu Nchemba
  6. Anne Kilango Malecela
  7. Christopher Ole Sendeka
  8. Lazaro Nyarandu
  9. Harison Mwakyembe
  10. Lucas Lumambo Selelii
  11...
  12....

  Kati ya Magamba Matatu Moja Limeshasalimu Amri, Limejivuka nalo ni Rostam. Lakini cha Kusngaza ni kwamba Baada ya Gamba Rostam Kuvuka ule Moto wa Kuvuana Magamba umetulia. Sasa naogopa Kujiuliza kwamba Ukiangalia Majina ya Makamanda waliokuwa wanaongoza Moto wa Kujivua Gamba na Gomba Lilivuka na Utulivu uliopo dhidi ya Haya Magamba Mengine Huenda Rostam ameshughulikiwa Kwa Vile Na Mfumo K.risto.

  Ningependa Kupata michango kutoka Kwa Makada wa CCM hapa JF, Rejao, FaizaFoxy, Rizt, Malaria Sugu juu ya Vita ya Kuvuana Magamba, je Inaendelea au Imekufa Baada ya Mlengwa Kujivua GAMBA?
   
 2. K

  KILOSAA New Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kawaida.......magamba yanaendeleza propanda zao za udini.
   
 3. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  KUMBE CCJ NI CHAMA CHA KIKRISTO EEH,MAANA HAO MAKAMANDA WOTE HAPO NAONA NI WANACHAMA WAANZILISHI WA CCJ WASUBIRI SUMU YA NGOZI SASA KAZI KWAO aaaaaaaaaaaaaa;;PATAMU SANA
   
 4. L

  Left Wing Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu Nime connect Dot tu Mawazo yangu yaweza kuwa Sahihi ila Maadam kuna Makada wa CCM hapa Rejao, FF, Malaria Sugu na wengine watakuja Kulitolea Maelezo
   
 5. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,128
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Mtajijua wenyewe na chama chenu kilichooza..ufisadi unanuka kila kona.
   
 6. X

  XFUNDI Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mawazo yako kweli finyu sana mawazo ya mfumo huo sasa yametoka wapi tena Tanzania haina udini, ukabila na wala ubaguzi wa rangi ni mtazamo hasi ulionao wewe juu ya watu hao
   
 7. L

  Left Wing Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tumethubutu, Tumeweza, Tunasonga Mbele japo kwa Mwendo wa Kinyonga ila Tutafika
   
 8. L

  Left Wing Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante sana
   
 9. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  True its worth asking!
   
 10. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu unawataja Macebrity wa JF? Ngoja wakushukie kama Mwewe. Mimi simo
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280

  Nadhani hujaielewa dhanna ya kujivuwa gamba, ungentazama nyoka au ungemsoma kwa makini akijivuwa inakuwa nini na anakuwa vipi?

  Rostam Aziz, alipojiuzulu katiwa hotuba iliyoelezea alivyoamuwa kuwachia ngazi na kuwachana na siasa majitaka. Nadhani ni busara kubwa sana aliyoitumia na ndio maana mpaka hii leo bado mnatafuta kila njia za kumuongelea. Rostam Aziz ni kichwa, kila alilofanya iwe ni biashara iwe ni siasa basi amefanikiwa. Rostam wakati wake wa siasa umekwisha na kaumaliza kwa kustaafu, iwe ni kujivuwa gamba au kung'atuka iwe ni mfumo kiristo au mfumo islaam, kwake yeye kwa sasa sio tatizo, tatizo linabaki kwenu mnaomuongelea na mkawatafuta kina FF waje kuwapa maoni yao. Tafuteni kingine liwacheni ji handsome lifanye biashara zake. Mnanchekesha!
   
 12. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Lazima utakuwa umetumwa wewe, sio bure. Kwa akili yako hiyo, inafaa ufungwe jiwe shingoni kisha utupwe baharini. Unadhani udini ndiyo suluhu ya kero za Wanzania. Mi naona urudi ukajipange upya.
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  haooo nawaona kwa mbaaali wanakuja kwa kasi na marungu na mapanga
   
 14. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  FF asiguswe Rostam Lazima uchomoke ulikotoka LoL! Unanchekesha
   
 15. KANUTI SILAYO

  KANUTI SILAYO Member

  #15
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Udini udini utatufikisha wap?
  By the way hao wa kristo ndo wanaongoza nchi?
  Au ni kwa sababu wanarasilimali nyingi? Km mashule,universities,college,na mahospital? Ambavyo hamna?
  Acheni kucheza bao na kunywa kahawa
  'good things go to those went and make them happen' by Lucky Dube
   
 16. Mmang'ati

  Mmang'ati Senior Member

  #16
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 185
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Udini....hivi ukristu au uislam ni jina?hao ulowataja ni wakristu?wanaishi maisha ya kikristu? Kwa maana ya ukristu?sidhani kama ukristu ni kusema uongo (hususani jukwaani)mchana kweupe,kwenda bagamoyo,dhuluma,masengenyo,uzinzi, kutotimiza wajibu nk.na viongozi wadini wanapaswa kuliangalia hivi hasa kwa waumini wao(wanasiasa) wanaokimbilia kwao kwa utetezi wakati wanamaovu mengine.
   
 17. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Swali muhimu-jee ingekua ngeleja ni muislam mpaka leo angekua hajajiuzulu?jibu ni rahisi ingekuwa kaandamwa kila pembe kama ilivyokua fisadi simba.el aliwahi mwenyewe ndioo maana mzee 6 alishtuka!
   
 18. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  hii ni ajabu,..watu wanashindwa katika mambo yao ya maendeleo na kusingizia dini flani ndo imesababisha....hakuna vichwa vibovu dunia kama hivi vilivyopo tz....
   
 19. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hakuna suala la udini, acheni fikra potofu
   
 20. T

  Topical JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wataondoka mkuu wanajisumbua tu kina EL na mwenzake kwenda kwa maaskofu kuomba rungu lisiwatwanga lakini ni too late..
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...