mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,717
- 11,917
1.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatusambazi kazi za chama mitandaoni kwa kiwango cha kutosha. Tumejazana Facebook, Twitter, Instagram, TikTok na kwingine huko, lakini hatubebi kazi za chama.
2.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatutembelei ipasavyo akaunti rasmi za chama katika mitandao ya kijamii. Mfano Twitter na Instagram, akaunti ya chama inazidiwa nguvu na akaunti za watu binafsi.
3.Wafuasi wa mbogamboga na vyama shikizi wanavamia kurasa za CHADEMA kutoa matusi na kejeli, tusiwaache, twendeni tukaweke kambi katika kurasa hizo, tusimame kutetea chama chetu dhidi ya Interahamwe..
4.Tumejazana makundi ya WhatsApp lakini hatushambulii. Ni watchdogs tu. Tunasoma na kupiga kimya hata tukiona mwenzetu ameshambuliwa na tunatakiwa kujibu kwa nguvu. Hatufanyi hivyo.
5.Tuwekeze katika matumizi ya mitandao. Sera za chama tunatakiwa kuzipata kupitia mitandao ya kijamii, na ukizipata, usipige kimya, sambaza, ukiweza hodhi mjadala, wajumbe wajadili sera za CHADEMA.
6.Tuwaogopeshe MaCCM kwa kutinga sare zetu, na kutupia mitandaoni kwa kasi, na ikiwezekana, kurasa rasmi za CHADEMA zichague picha kali, na ku’post katika kurasa hizo. Hii ni njia ya kuishi karibu na UMMA
7.Admins wa kurasa za CHADEMA, wahakikishe kurasa hazilali, contents hazipungui. Wasisubiri hadi matukio, wanaweza kuanzisha hata mijadala, au wakaweka polls pale, watu wapige kura zao, au kumbukumbu.
8.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA, twendeni tuka’ follow kurasa rasmi za CHADEMA katika mitandao yote ya kijamii. Tuhamasishane wote, iwepo kampeni ya ku’ follow kurasa hizo kwa nguvu ya pamoja..
9.Tusisambaze porojo za MaCCM kuliko ambavyo tunastahili kusambaza vipeperushi vyetu vinavyoishughulikia serikali yao. Watu wetu wanapiga spana, tuchukue content zao, tusambaze.
10.Tuanze kuvaa sare za chama. Tusiogope kuvaa sare za CHADEMA. Sare ni njia kubwa ya uenezi wa chama. Ukivaa sare utashawishi na wengine wavae. Sare za CHADEMA zinavutia kuzivaa. Usiogope. Vaa sare.
Copy and paste kwa MMM.