julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Kaka mkubwa mimi naona ifike mahali ujitambue! siyo kweli kila mtu humu hakupendi ila kama kila mtu unakuandama basi inakupasa ujue una mapungufu makubwa!
Jamaa yako kakomaa katafuta maisha yeye kama yeye sasa wewe unataka kusafiria nyota yake kirahisi jitambue aiseeee!
jamaa yako mwenyewe wengine tunamuona kenge tu katika kundi la mamba sasa wewe unafikiri ni Mungu mtu duh!!!!!!!!!!!! uzuri wako uko wapi sasa! unao waomba wakufuate huko wanakushushia mvua ya mawe tu jikosoe kijana utaliwa kiboga kujisifia sifia watu wanatenda kweli!!