Mfate heaven instagram

Mfate heaven instagram

Kumbe kuna Heaven wawili? Mimi namfahamu yule mwanamke sasa nimeshangaa kuona sura ya mpaka poda nikapata maswali mengi yasiyo majibu.

NB: Mkuu mleta hoja mbona make-up nyingi hivyo utafikiri mcheza show wa kikongoman?
 
Kumbe kuna Heaven wawili? Mimi namfahamu yule mwanamke sasa nimeshangaa kuona sura ya mpaka poda nikapata maswali mengi yasiyo majibu.

NB: Mkuu mleta hoja mbona make-up nyingi hivyo utafikiri mcheza show wa kikongoman?
Wako watatu kuna Heaven on Earth pia kuna heaven on desert na kuna
Earth on heaven
Sijui ubunifu haupo?
Wameishia kukopi na kupest tu
Nani mwanzilishi wa hili jina?

Halafu huyu mtoa mada utakuja kusikia habari zile za hovyo tu siku moja!!!!!!!
 
Hizi tabia za kivulana, mwanaume ni taasisi yenye heshima yake bhana. Haichezewi hovyo hovyo
 
unajiungaje huko instagram?? Heaven on dessert tupe darasa sie wazamani,,,,i dont know why all this negativity coming from,its free world,one can do anything they want so long they dont break the law...
 
Last edited by a moderator:
huyo kapata android hivi majuzi.

Ha ha ha! Kweli kila kitu na mwanzo, nakumbuka enzi hizo 2000 mwanzoni nimepata kilonga longa changu, kila namba nayoiona nasevu ili seamen yangu iwe na contacts angalau.

Sawa sawa na FB mtu unaomba urafiki kwa watu hata huwajui ili tu uwe na friends, hasa siku za mwanzoni ukijoin.
 
kapandikize nywele kwanza!! huoni kipaa kinakunyemelea!!!
 
MMU imegeuzwa Chitchat na mods wamenyuti chedro...hatari sana
 
Back
Top Bottom