Mfate heaven instagram

Mfate heaven instagram

Niko poa kabisa...yale mambo nimemaliza salama...jumapili yani kesho taanza zile route zangu......

hongera sana. nakutakia safari njema zenye mafanikio. tutaonana ukirudi kama Mungu akipenda. mia
 
Matangazo kama haya inabidi yalipiwe ili jf izidi kukua ..biashara matangazo manake jamaa kishajitangaza tayari alipie basi.
 
aibu... nilikua(ga) naheshimu sana michango yako
 
Dunia haishi vituko dume zima linajitangaza? Duuuh kuna umuhimu wakufanya mapinduzi ya kifikra kwa vijana wa Ktz, coz hiz technology zimeleta changamoto kuliko matunda mema yaliyokusudiwa. Sorry Heaven on Earth nilishakufikiria vibaya kwa kudhani ww ndio umepost huu upuuzi
 
Back
Top Bottom