Huyo kiboko๐๐๐๐๐๐
Me nakaa na kisu ndiyo raha, sasa kuna Mama Kija yeye alikuwa anakula na kijiko, unakuta tikiti limechimbwa kama shimo..!!
Nae ni hayo hayo ukiona limelala ujue ni kubwa zaiid na alipate jioni ila likija mapema likifikq asubuhi labda asahau ๐๐๐๐๐
Ila honestly me nasemea yale ya 1K na 2K, siyo yale makubwa kama nyumba..!!
Kabla sijalala nala nusu, kisha naweza amka zangu katikati ya usiku nikamalizia kipande changu fresh..!!
You are 100% correct. Na siyo kuitana majina ya kishkaji tu bali ku-share mambo nyeti ya maisha. Unajua uhusiano ya mapenzi ni tofauti na urafiki. Kama ilivyo kwa ubaba/umama vs mtoto. Wazungu ndiyo huwa wanakazia sana hili jambo. Utasikia mwanamme anasema ''huyu siyo tu kuwa ni mke wangu lakini ni rafiki yangu''. Na hapa ndiko tunakokosea sisi waswahili. Unakuta mwanamke na mume/boy friend wake lakini kuna mambo mengi tu hawezi kumwambia lakini pembeni ana mashoga zake na yuko comfortable kuwaelezea. Wanaume nao unakuta wana washikaji na wana-share nao siri au mambo ambayo hawezi kuwaambia wake zao.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jamanโฆ
Mpenzi wako akiwa mshkaji wako kuna uwezekano mkubwa sana wa kujuana zaidiakikudanganya/akichukia/akiwa na furaha sana/akiwa na huzuni/siku yake haijakuwa nzuri kabla hata ya kumuulizaโฆna mengineyo.
Mwite majina ya kishkaji,mwamba,mwana,na mengineyo lakini isiwe too much sasa na nyie loh๐๐..
Mara moja moja mwambie โmwamba leo tupige game jikoni wakati nakaanga vitunguu โutamu ukizidi mnajikuta vitunguu vimeungua au vimafuta vimewarukia kidogo๐๐mnaungua,au mwambie babe twende tukapige game mpakani mwa Ukraine na Russia pembezoni mwa bomu la nyuklia.
Basi tu ilimradi usumbufu Woi๐๐
Chezeni karata,fanyeni evening walk pamoja,tubuaneni kidogo lakini hakikisha jua halijazama kisirani kimeisha๐๐
Haya msichukulie maisha siriazi sasa na nyie๐
Kuna kuwaga na maisha halafu na muda wa mapenzi๐.nafikiri Niko kwenye mapenzi wakati huu sitaki kugombezwa๐๐๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ
View: https://youtu.be/XhVwmbdIDhg?si=25XiVyiSLFMYZs98
Tajiri unataka kunipa hela? ๐๐๐
Chukua notes๐Tajiri unataka kunipa hela? ๐๐๐
Sizitaki me nataka pesa tyuuu!! ๐คฃ๐คฃ๐คฃChukua notes๐
Pesa tayari unazo, au unataka kushindana na Mo dewji?๐Sizitaki me nataka pesa tyuuu!! ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kantri hii tabia siipendi ya kunipa utajiri nisiokua nao ๐๐๐๐Pesa tayari unazo, au unataka kushindana na Mo dewji?๐
Sasa kwahiyo ndie mwenye hasira na mwanamke kuliko aliyemuumba sio!haya kula๐Me sicheki na kiumbe anakula deal na Nyoka Kisha kufanikisha ME tuishi kwa mateso tukiwachumia Huku tunawahi kufa.
Never.
Nikilala nae room Reticular Articulation system iko on 99% no delaying.
Nipe maelekezo ya kuandaa chai kupitia huo mdomo๐Kunywa chai inatoaga baridi ujue
Chenk yuuu ,tuuuchenk yuuuu๐ค๐ค