Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,649
- 3,818
Habari zenu waungwana.
Kuna binti wa kazi hapa nyumbani ana tabia ya wizi, km wiki 2 zilizopita aliiba simu ya shemeji yenu ilokua haitumiki,baada ya kumbana sana na kumtisha kesho yake ndo akakubali na akaonyesha alipoificha.
Sasa jana waleti ya mdogo wangu wa kiume imepotea humu ndani na yy aliingia huko chumbani kumlaza mtoto, pia juzi elfu 20 ya bi mkubwa aliacha juu ya kabati imetoweka.
Sasa najiuliza nimfanyaje huyu binti aweze walau kutoa hyo waleti mana ina vitambulisho na leseni za dogo, huyu binti ana miaka 16.
Ushauri wenu tafadhali