ThisisDenis Senior Member Joined Apr 14, 2013 Posts 178 Reaction score 154 May 1, 2025 #1 Mfanya kazi ni nani ? Au ni mtu yoyote mwenye cheque number ?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,102 Reaction score 181,129 May 1, 2025 #2 Subiri wanakujaa kukupa muongozo.
Rule L JF-Expert Member Joined May 31, 2020 Posts 2,158 Reaction score 3,419 May 1, 2025 #3 Tuanze na kazi yenyewe kwanza ndio tutajua mfanyakazi ni nani.
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,774 Reaction score 54,843 May 1, 2025 #4 Historia ya siku ya wafanyakazi duniani ilikuwa ni siku ya kuhamasisha wafanyakazi kudai haki zao Siku hizi imekuwa siku ya wanasiasa kuwadanganya na kuwapanga wafanyakazi
Historia ya siku ya wafanyakazi duniani ilikuwa ni siku ya kuhamasisha wafanyakazi kudai haki zao Siku hizi imekuwa siku ya wanasiasa kuwadanganya na kuwapanga wafanyakazi
mgendege JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 363 Reaction score 471 May 1, 2025 #5 mei mosi naona kwa watumishi wa serikari sana sekta binafasi mbona hawa shobokei mei mos
T Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 5,863 Reaction score 10,343 May 1, 2025 #6 Siku ya Mei mosi mi huwa nawahurumia walimu
farfat JF-Expert Member Joined Jun 10, 2021 Posts 344 Reaction score 626 May 1, 2025 #7 Sikukuu ya waliofungwa kifikra..
S sammyminjino Member Joined Jun 3, 2025 Posts 26 Reaction score 14 Jun 11, 2025 #8 Nimepata cheque number tarehe 25 mwezi wa tano 2025, je mwezi huu nitapata mshahara wangu? Wakuu msaada?
Nimepata cheque number tarehe 25 mwezi wa tano 2025, je mwezi huu nitapata mshahara wangu? Wakuu msaada?
ThisisDenis Senior Member Joined Apr 14, 2013 Posts 178 Reaction score 154 Jun 11, 2025 Thread starter #9 utapata.