Habari za weekend wakuu,
Mimi ni kijana ninaefanya kazi ktk kampuni moja kwa miaka 3 sasa na nina mke na mtoto 1.Sasa kuna dada mmoja nilimkuta hapo kazini ambaye ni mzuri na amejaliwa sana sehemu za nyuma yaani ni balaa.
Sasa huyu dada alionyesha kunitaka lakini kutokana na msimamo wangu ameshindwa na bado ananisumbua sana na pia yeye ameolewa na ana mtoto 1 yaani nikikaa nae ofisini ananisumbua sana mara anikisi kwa nguvu mara anishikeshike yaani ni shida tena hasa tukiingia kazini weekend ndio balaa maana siku nyingine tunakuwa wawili tu.
Nimevummilia sana sasa naona nachoka na leo usiku amenitumia ujumbe kuwa leo tunapoenda kazini lazima tufanye mapenzi ofisini maana anasema amevumilia sana na yeye amechoka na nisipo kubali atanitangaza kazini na kwa mme wake kwamba ninamsumbua na nimemtishia maisha yake.
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili maana nahisi kumkaribisha shetani ofisini.
Sasa shida yann? Cha umuhimu heshimuni ofisi tu, chukua mzg kapige lodge apo ofcn utapiga moja bas hutafahd mkuu
Huyu ni mwanamke au ni Bata mzinga?