BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Msg si unayo ushahidi mzuuuriiii
Kujeni hapa BADILI TABIA na Evelyn Salt mniambie kama hii ni chai ya rangi au ya maziwa
Amekutumia ujumbe kuwa leo lazima msex na ukikataa atakutangaza na kwa mumewe kuwa unamsumbua na kumtishia maisha. Hahahaha huoni kuwa huo ndo ushahidi utakaomuonyesha mumewe? Akili zingine haziwezi fanya kazi mpaka uchanganye na pettroli
Habari za weekend wakuu,
Mimi ni kijana ninaefanya kazi ktk kampuni moja kwa miaka 3 sasa na nina mke na mtoto 1.Sasa kuna dada mmoja nilimkuta hapo kazini ambaye ni mzuri na amejaliwa sana sehemu za nyuma yaani ni balaa.
Sasa huyu dada alionyesha kunitaka lakini kutokana na msimamo wangu ameshindwa na bado ananisumbua sana na pia yeye ameolewa na ana mtoto 1 yaani nikikaa nae ofisini ananisumbua sana mara anikisi kwa nguvu mara anishikeshike yaani ni shida tena hasa tukiingia kazini weekend ndio balaa maana siku nyingine tunakuwa wawili tu.
Nimevummilia sana sasa naona nachoka na leo usiku amenitumia ujumbe kuwa leo tunapoenda kazini lazima tufanye mapenzi ofisini maana anasema amevumilia sana na yeye amechoka na nisipo kubali atanitangaza kazini na kwa mme wake kwamba ninamsumbua na nimemtishia maisha yake.
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili maana nahisi kumkaribisha shetani ofisini.
Daah binadamu bana, kwa hiyo hapo Madai yako unataka tu ukalale naye kisa kakutishia. Hivi angekuwa ni mtu ambaye hujamtamani hata kidogo unadhani huo ujumbe wake ungekutisha? Ni hilo tako lake tu ndo linakuwazisha hapa
unatumia nini??? kama kinywaji