Mfanyakazi mwenzangu anataka tuchepuke ofisini

Mfanyakazi mwenzangu anataka tuchepuke ofisini

Kumbuka kwamba una mke ma mtoto,
Kumbuka ile amri ya sita mkuu,

Pia ile amri inayosema usitaman kitu, hata mke wa mtu usimtamani kabisa,

Kumbuka lile neno linalosema muikimbie zinaa, na pia tamaa za mwili...

Jiulize kama anakutega hvyo na ameolewa anamme wake hiv anaweza kuwafanyia hvyo wengne wangap?

Mkuuu acha kutumia hisia na mhemko kufanya maamuz fikir mara mbil, hapo ni kazini utapoteza kaz kwastarehe ya dk 10

Hekima za Mungu zikawe nawe, katika hilo
 
Sasa shida ipo wapi......?......si mchepuke.......kajazia kwa nyuma kama hivi........
 

Attachments

  • 1448689150569.jpg
    1448689150569.jpg
    23 KB · Views: 1,062
Kwanini usitumie huo ujumbe aliokutumia kukutisha kufanya anachotaka, kama kinga yako? Hizi story nyingine bana.
 
Nenda na spy camera urecord kila matendo yake then mgomee kumpa dudu. Hakikisha unaitunza hiyo clip na panapobidi itumie kama ushahidi pale inapobidi.

Usithubutu kumpa dudu. Atakusumbua. Kila akikutisha unampa, unajuaje labda amekuandalia limbwata? Utasahau familia wewe. Chezea watu wenye pepo la ngono.
 
Tatizo liko kwako kabla haujamlaumu huyo binti. Unaruhusuje akushikeshike kama kwa dhati haupendi. You sound like nataka sitaki. Kuwa na msimamo mkuu maana hiyo hoja ya kukutisha hata haina mashiko. Ujumbe unao sasa unataka nini zaidi.
 
Huyu naona anazingua tu, wengine wamesema ule wengine wamesema usile, utachukua lipi sasa. Mnk mwamuzi wa mwiaho ni ww, na uamuzi unao Tayari Kabla hata hujaja hapa
 
Habari za weekend wakuu,

Mimi ni kijana ninaefanya kazi ktk kampuni moja kwa miaka 3 sasa na nina mke na mtoto 1.Sasa kuna dada mmoja nilimkuta hapo kazini ambaye ni mzuri na amejaliwa sana sehemu za nyuma yaani ni balaa..

mi umenikosha hapo tu ustadhi, kama vp tafuna
 
Habari za weekend wakuu,

Mimi ni kijana ninaefanya kazi ktk kampuni moja kwa miaka 3 sasa na nina mke na mtoto 1.Sasa kuna dada mmoja nilimkuta hapo kazini ambaye ni mzuri na amejaliwa sana sehemu za nyuma yaani ni balaa.

Sasa huyu dada alionyesha kunitaka lakini kutokana na msimamo wangu ameshindwa na bado ananisumbua sana na pia yeye ameolewa na ana mtoto 1 yaani nikikaa nae ofisini ananisumbua sana mara anikisi kwa nguvu mara anishikeshike yaani ni shida tena hasa tukiingia kazini weekend ndio balaa maana siku nyingine tunakuwa wawili tu.

Nimevummilia sana sasa naona nachoka na leo usiku amenitumia ujumbe kuwa leo tunapoenda kazini lazima tufanye mapenzi ofisini maana anasema amevumilia sana na yeye amechoka na nisipo kubali atanitangaza kazini na kwa mme wake kwamba ninamsumbua na nimemtishia maisha yake.

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili maana nahisi kumkaribisha shetani ofisini.

Dada mwenye ndiye huyu hapa.
attachment.php
 
Sasa shida ipo wapi......?......si mchepuke.......kajazia kwa nyuma kama hivi........

nashangaa hiyo miguu mbona haivunjiki? au ni wembamba wa reli?
 
Piga kazi kidume asije akakuzoea kama shostito
 
Ukweli huwa unajitenga jamani wew achana naye kabisa.
 
Rais Magufuli akishitukizia hapo ofisini akute mnabanduana mtamwambia nini?
Maana huyo rais wenu hatabiriki kabisaaaaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Huo ujumbe aliokutumia ndiyo itakuwa ushahidi tosha, wala usimuogope...mtose tu!
Hafai huyo.
 
Back
Top Bottom