Mfanyakazi mwenzangu amenitamani kisirisiri, ananionesha ishara ila hafunguki

Mfanyakazi mwenzangu amenitamani kisirisiri, ananionesha ishara ila hafunguki

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,475
Reaction score
3,538
Leo alikuja ofisini kwangu, akaongea ongea ila nilihisi tu hayuko sawa, ghafla akanirukia akanikumbatia kwa sekunde kadhaa huku ameficha uso wake, baada ya muda aliniachia akaondoka kwenda ofisini kwake bila ya kuniambia chochote.

Kabla ya tukio hili Kuna siku tulikua tunaongea, kumbe alikua ananiangalia vidole vyangu vya mikono, ghafla akajikuta amenishika mkono af akashtuka, akatoa mkono.

Na mimi natulia kama sijui kinachoendelea, kesho nikifika namsalimia kama kawaida kama hakuna kilichotokea, kama yakimzidi atafunguka mwenyewe ila kwa hii mitego mitego hawezi nipata hata kidogo.
 
Picha iko wapi sasa, tunakomentije?

Sawa umeshindwa kuweka picha ya tukio la kukumbatiwa ila sasa ndio hata picha yako kweli? Okay hiyo nayo ngumu, ndio hata picha ya mkumbatiaji sasa? Tufanye yote hayo magumu, basi ya vidole alivyokuwa anaviangalia je?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom