Mfanyakazi CRDB afikishwa Mahakamani kwa kumuibia mteja zaidi ya Tsh milioni 100 na kuzitakatisha

sasa huyo mwenye account alikuwa hapati sms alert kuwa pesa imetolewa hebu tufafanuliwe kidogo ili tujifunze na haya majanga.
Mwizi na mghushi sahihi ni mtu wa bank, kwani unadhani ye ni fala hata asijue SMS alert? Si una disable tu sms alert the deal done
 
 
hivi kuna taratibu gani kufungua account kwenye hizi international banks?? inabidi tuhame tu
 
Milioni 100 kwa watu watatu ni hela ndogo mno,kushiriki wizi wa hivyo ni kujitumbukiza shimoni. Tena hela yenyewe hawajaipiga kwa pamoja,wameipiga kidogo kidogo,kuna uwezekano mkubwa mpaka wanakamatwa hawana kitu. Hiyo hela inatakiwa unaipiga mtu mmoja tu,tena kwa pamoja. Ktk maisha yangu nimejifunza sana hii kitu. UKITAKA KUFANIKIWA KATIKA JAMBO LAKO LOLOTE LIFANYE PEKE YAKO.
 
netteller ndo nini mkuu, naomba elimu hapo
 
kweli aisee,wana taratibu gani kufungua account??
 
hata mia yenyewe kwa mtu mmoja ndogo hata nyumba ya maana hujengi
 
Wafanyakazi wengi wa Benki ni kawaida yao.

Mfano, wengi wao wanatumia mbinu ya kuweka akaunti ya mtu kuwa dormant kisha wanaizungusha hiyo hela baadaye wanazirudisha.


Any way, acha wakanyee kopo.
dormant means mtu hawezi toa hela??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…