Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,921
walimtolea bastola auHawa pumbavu jana wamemlia timing jamaa yangu kutoka Muheza na wezi wamemchukulia 7.5mill asubuhi na mapema pale mtaa wa Mafia na Lumumba,alitoka kuchukua pesa CRDB Vijana branch hapo Lumumba.