Mfanyakazi anahitajika haraka sana

Mfanyakazi anahitajika haraka sana

Ni wivu tu piga Simu utapewa maelezo

Wewe ndiye msomi aliyebukua North Korea?! Hahaha majanga.
Hata kuandika hujuwi. Hebu soma tena Tangazo lako uone ulivyo mweupe. Uandishi very vague! Cv za waombaji watume kwenye hiyo simu yako? Work place ni angani eeh? Jina la office/kampuni ni nameless eeh?

Wewe muwinda nyapu tu za wadada desperate. Unataka mbunye ama pesa by cheap tricks. Acheni huo utapeli wa kipuuzi.

-Kaveli-
 
Kama wewe ndio wamekuamini kuleta tangazo JF hakika iyo ofisi ni majanga tupu,kama umeshindwa kutoa taarifa muhimu za ofisi yenu hapa JF unataka upigiwe simu haukua na sababu za kuleta hili tangazo hapa ungewatafuta kwenye simu tu.
 
Wanaume mnatokwa mapovu sana

Unadhani hao wanawake unao wataka wanatokea chini ya miti?ni dada,wake,shangazi,wachumba,shemeji zetu na hata CV sio zote wanatuma wao wengi tu tunawasaidia kuomba kazi.
 
Teh teh teh au mzee wa parallel uyu?

Hahaha mkuu fuatilia nyuzi zake huyu dalali, utagundua kuwa ni tapeli kanjanja.
Mara yupo North Korea kimasomo. Mara yupo Mwanza ana mzigo mkubwa wa dagaa so anatafuta wateja. Mara yupo jijini Dar ana mzigo mkubwa wa mpunga so anatafuta wateja. Mara biashara yake ni Pharmacy so anatafuta mdada mwenye nursing background. Etc.

Hivi wewe ndiye nilikubandua malinda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom