Mfanyakazi anahitajika haraka sana

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,414
6,134
Mdada receptionist anahitajika mwenye degree ajue ngeli maana cm zinapigwa toka nje nyingi ajue kompyuta kidogo pia kunakazi za kihasibu atafanya hivyo nibora zaidi awe anajua napokea vyeti kuanzia sasa mwisho ijumaa jumamos interview 0678199968
 
Kila la heri kwa atakae chaguliwa
 
Mdada receptionist anahitajika mwenye degree ajue ngeli maana cm zinapigwa toka nje nyingi ajue kompyuta kidogo pia kunakazi za kihasibu atafanya hivyo nibora zaidi awe anajua napokea vyeti kuanzia sasa mwisho ijumaa jumamos interview 0678199968
'GENDER DISCRIMINATION'
 
Anahitajika wapi?interview ni wapi?unapokelea vyeti wapi?au vitume kwa wasapp?mbona huweki email?au ndio kutaka namba ujichagulie madodo?samahani lakini!Maana interview jumamosi ukimuita mtu kumbe yupo zanzibar interview kumbe ipo sumbawanga,je nauli utamtumia?
 
Hujaiona Namba hapo hatuhitaji dodo tunahitaji mtu wa kazi
 
Mdada receptionist anahitajika mwenye degree ajue ngeli maana cm zinapigwa toka nje nyingi ajue kompyuta kidogo pia kunakazi za kihasibu atafanya hivyo nibora zaidi awe anajua napokea vyeti kuanzia sasa mwisho ijumaa jumamos interview 0678199968

Yaan matangazo ya kitapeli, watu awachoki!!
 
Ofisi zetu ziko Tanga,na vilevile kazi ni tanga hukohuko,
wasiliana na namba ya huyo HR wangu kwa maelezo zaidi
 
Anahitajika wapi?interview ni wapi?unapokelea vyeti wapi?au vitume kwa wasapp?mbona huweki email?au ndio kutaka namba ujichagulie madodo?samahani lakini!Maana interview jumamosi ukimuita mtu kumbe yupo zanzibar interview kumbe ipo sumbawanga,je nauli utamtumia?

Mkuu hakuna kazi hapo. Magumashi tu yanaendelea.
Tangazo la kazi limekaa kikoromije mwanzo mwisho.

-Kaveli-
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom