Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,617
Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi
Azizi Msuya (39), mkazi wa Sambarai, Moshi, amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake Alhamisi, Oktoba 2, 2025, akidaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi wa awali umehusisha msongo wa mawazo uliotokana na madeni aliyokuwa akikabiliana nayo.
Msuya alikuwa akijihusisha na biashara ya kusafirisha watalii. Uchunguzi zaidi unaendelea.