Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aua kwa bastola Arusha

Haaa ata Dsm ipo sana,umesahau juz Kati kuna mchz alipigwa risasi maisha club ???acha ujinga kaka,usela mavi na ubishoo ata dar vipo aiseee

we ndio uache ujinga hao ni watu wamedhurumiana pesa, au demu,...utalinganisha hiyo na mtu kumuwekea bastola dogo kichwani...unaongelea habari za maisha club...huko wanaenda watoto ukiona mtu mzima kaenda kule ujue hamnazo..
 
Ina maana watu wazima wanaoenda club mnazo ???acha matusi kijana
 
Haya mambo yapo kila mahali,ayubu mlay aliuwawa maeda club kwa bastol ni ushamba tuu wa wamiliki
 
Ya Rage siijuwi naijuwa ya Babu tu kuamrisha mtu aminywe korodani kwa kuwa hajaelewana na Josefina.
FaizaFoxy na huyu Mathias Manga ni kada mzuri wa CCM yenu. Ndio wanafadhili CCM Arusha na Tz, labda kwa kua ndio wafadhili wa chama sheria zitapindishwa arudi mtaani kama kawa. Chama Kimeshika hatamu
 
Last edited by a moderator:
Nisome Mara ngapi? Nikushauri wewe elimu ilokupiga kumbo....

Slaa anakunyima raha Sana....

Pole sana kijana, kila siku unayoishi duniani unasoma na huwezi ukahesabu usome "mara ngapi". Kama wewe unahisi huna zaidi cha kukisoma kwa kuwa umeshasooma mara uzijuazo wewe, sina zaidi ila kukupa pole nyingi sana.

Kwa swali lako hilo, unazidi kuniaminisha kuwa shule uliyoenda ulienda kusomea ujinga. Na kama si shule basi ujinga uko kwenye genes zako - kumbuka hilo.
 
Unajua tofauti baina ya kusoma... Kujifunza na kujua?

Kusoma na kujifunza n maneno sawa ama tegemezi?

Mimi sisomi kila siku Bali najifunza kila siku.....
 
Hizi pesa ndio zilimfanya yuda akamsaliti yesu ni kipindi hichi hichi cha pasaka hebu tuone Rpc na Rco wa arusha watavyopokea mlungula .na huyu Matias manga anatarajia kuja kugombea jimbo la arusha.hiyo ni kashfa tosha .na yeye ni team lowassa .tuwafuatilie kwa makini

Alieua n felix mmasi,hana undugu kbs na matias manga mangastone
 
nilikua naishi jiran na MANGA nilipanga opp na jumba lake kwakwel jamaa ni bandidu kikuda huwez kunkuta anacheka ni mweusi tii mwenye mwili jumba...matajir wa arusha sijui ni ushamba mana mnaweza mkawa bar akachomoa bastola akapiga hewan bila sababu anafurah kuona mnavyotimua mbio...kingine hiz silaha weng wanazipata kimagendo nlikua na rafik yangu polis field force alikua akinambia kama una laki 7.5 lete tykuuzie pistol nipo store rahis kuichomoa so vijana weng wa mawe wanamilik kijanja janja tu wanauziwa na askar kimagendo

Alieua n felix mmasi c manga wa gamestones
 
Jeshi la Police linapaswa kuangalia tena utaratibu wa vibali vya kumiliki silaha! wengi wana miss use matumizi! utakuta mwingine ana vits, nyumba ya kupanga vyumba 2 nae ana bastola!; hawa matumizi huonekana akitaka dem alomzidi ! mara atatoa aiweke kwenye dash, mara kiunoni ilimradi tu ionekane.Asante Nyerere Tanzania yetu ya Amani nchi nyingine U WONT TRY THAT RUBBISH.
 
Unajua tofauti baina ya kusoma... Kujifunza na kujua?

Kusoma na kujifunza n maneno sawa ama tegemezi?

Mimi sisomi kila siku Bali najifunza kila siku.....

Utaingia JF bila kusoma? Fikiri.

Usitake kubisha tu kwa ajili ya kubisha. Unasoma kila siku lakini unakataa kuwa husomi kwa ujinga wako tu, si zaidi.

Unazidi kujidhihirisha ujinga wako na unaonesha hujifunzi unachokisoma kila siku.
 
Hivi ukidoma lazima ujifunze?
 
huyo tajiri ashatoka
arusha hakuna matajiri.
Ni mayowe tuuu,
unajua kwa nini??
sarafu coins=hupiga kelele chilinginji
lakini noti = kimyakimya
ndivyo arusha ilivyo
masikini ni wengi.
Mtu akiwa na vijibanda na uhakika wa kula.
Jamii inampongeza kwamba ni bilionea.
Wakati hajatoa ajira hata kwa watu 5.
Toa dereva wake na mlinzi.
 
Jeshi la Police linapaswa kuangalia tena utaratibu wa vibali vya kumiliki silaha! wengi wana miss use matumizi! utakuta mwingine ana vits, nyumba ya kupanga vyumba 2 nae ana bastola!; hawa matumizi huonekana akitaka dem alomzidi ! mara atatoa aiweke kwenye dash, mara kiunoni ilimradi tu ionekane.Asante Nyerere Tanzania yetu ya Amani nchi nyingine U WONT TRY THAT RUBBISH.

Mimi nilinunua kumlindia mke wangu.......wengi tunadhani bastola kazi yake ni kulinda mali kumbe kazi yake ni kulinda uhai wako na jamii. Kama huwezi karate na boxing hiyo kitu inafaa. Vijana wa toyo wakikuharasi unaweza kujiokoa au kuokoa gari lako....wanachokosea masharo ni kuitumia kama urembo
 
Back
Top Bottom