tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,691
- 19,229
Jamaa amwekwa sero mpya usiku polisi wanapishana kumpeleke whisky na mablanket.
Mkuu kesi inaenda mahakamani leo istoshe police walikua wanafanya uchunguzi kujua chanzo mana boma zima la marehemu lilikuwapo wakati wa tukio walikua wanakunywa pombe plus mbuzi.hakuna kisa au ugomvi ujinga na ulevi ndio chanzo