Maelfu wajitokeza mazishi ya baba wa mfanyabiashara maarufu Saitoti wa Arusha

nyamadoke75

Member
Apr 1, 2020
87
280
Mwili wa Emmanuel Mollel ambaye ni Baba wa mfanyabiashara maarufu Mkoani Arusha na Manyara umezikwa kwenyw kijiji cha Marurani wilayani Arumeru Mkoani Arusha huku maelfu ya watu wakijitokeza na kumlilia Mzee Mollel kwa upendo alio kua nao kwa majirani huku wengine wakizimia na kuanguka chini

Joel Saitoti ni mfanyabiashara maarufu wa madini Mkoani Arusha na Manyara na mmiliki wa kampuni za uchimbaji wa madini ya Tanzanite Azo Africa Limited na Germ and Rock Ventures.


Viongozi mbalimbali wakiwemo wa serikali,wananchi wachimbaji wa madini zaidi ya elfu tatu walishiriki kwenye mazishi hayo kutokana na umaarufu wa mfanya biashata huyo pamoja na baba yake

Wafanya biashara wenzake na Saitoti waliofika Msibani hapo wamesema kwamba amepoteza mtu muhimu sana kwaninni moja kati ya wazee ambao walikua ni msaada mkubwa sana katika kijiji hicho wqnanchi kufika kwake na kutatua changamoto za maisha View attachment 2509726View attachment 2509727View attachment 2509730View attachment 2509729View attachment 2509728
IMG-20230207-WA0010.jpg
 
Back
Top Bottom