Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aua kwa bastola Arusha

Mkuu hii habari umekosea anaitwa felix mmasy hana undugu na manga zaidi ya ujirani kijijini kwao.alikua anafanya kazi n manga alipopata hela akafungua miradi yke kazi ya mgodini aliacha

mine nataka mgodi na mie nifanyie madili
 
Mfanyabiashara wa madini ya tanzanite Arusha, Felex Manga amempiga risasi mtoto wa kimasai. Wakati akisherehekea kuuziwa shamba na baba yake eneo la Terati siku ya Jumamosi.

Siku ya tukio mtuhumiwa na familia ya aliyemuuzia shamba walifanya sherehe ya kumkabidhi shamba, ndipo mzee mwenye shamba alipomuuliza hivi vitu mnavyovaa kiunoni vinafanyeje kazi?

Ndipo jamaa akachomoa na kupiga juu kazaa bila kujua kuna iliyobaki akamnyooshea kijana kwenye paji la uso na kumtoa uhai, jamaa mpaka muda huu yupo ndani ndugu zake wakihaha kumtoa.

ngumu kutoka
 
Matajiri walio wengi wa arusha ni malimbukeni sana, washamba, bogus na ndio maana pamoja na kuwa pesa mingi bado haiendani na investiment walizofanya!

Ukweli ni kwamba wachache ndo wanajielewa!

Kweli pesa bila elimu ni sawa na hakuna!
 
Aisee Pole Yake Manga wa Manga gamestones...
Hao ndio wafadhili wakuu wa CCM mkoa wa Arusha. Hata kama kaua bila kukusudia lakini huwezi kucheza na bastola kwenye uso wa mtu hata kama haina risasi.
CCM wamezoea kuoneshana bastola hadharani ukianzia na akina Rage kwenye kampeni, Ditopile kwa dereva wa daladala na sasa Manga kwa kijana wa kimasai
 
Wanamtoa wa nini mpumbavu sana kabisa huyo?! alipewa kiharari kweli au kaipata kimagendo kwa kutumia pesa! Kama alipata kiharari angejua masharti yake yalivo magumu.
 
Money is scarce! Money is never enough. pesa nyingi kwako ni kiasi gani mamndenyi?

Huyu wala haina haja ya kufikiria sana kwamba anatumia nini katika kufikiri!

Mtu yeyote anaporuhusiwa kumiliki silaha nadhani huwa anapewa masharti na vigezo ili chombo hicho kisilete madhara...

Huyo bwana hakutumia akili kabisa katika jambo alilofanya, he deserves facing the law.

Tusubiri mrejesho kutoka mahakamani.
ukisema hakutumia akili ina maana kaua bila kukusudia....sheria inakuwa na degedege ikisikia kaua bila kukusudia.
 
Polisi pokeeni mlungula lakini rupango mswekeni ni mpuuzi hyu silaha sio ya kuelekezea kichwani kwa mtu na kwa nini alivuta triga
 
Kwa kweli Manga sasa ni janga lingine kabisa kwa jamii yetu

Miaka kama kadha iliyopita alishawahi kumkanyaga jamaa mmoja hapo makao mpya akadai hajamwona na hata sheria haijachukua mkondo wake

Na kuna tukio lingine tu alifanya na serikali ikawa kimya mpk leo,sasa na hili tena ngoja tuone watamfanya nini huyu mpunguani wa ccm diwani wa kata Mlangarini............Matias Manga mwehu mjinga kabisa!
 
Back
Top Bottom