Ukimkuta kitumbini pale hachagui mteja naye anakuhudumia,biashara na kauli nzuri ya biashara alikuwa nayoMkuu tafadhari jazia nyama najua wajua mengi kuhusu yeye. Wewe born town
TAMBUU Mkuu sio KUBERPumzika kwa amani mzee ila.MENO YANAONEKANA ALIKUWA ANATAFUNA MA KUBER KISAWASAWA
Hawa ndio wafanyabiashara wenyewe yani ukitajiwa biashara zake unaziona kabisa hizi hapa na unazitumia kila siku. Sio wale wabongo mikogo mingi ila ukitafuta kazi zake mpaka usimuliwe kwa nguvuUkimkuta kitumbini pale hachagui mteja naye anakuhudumia,biashara na kauli nzuri ya biashara alikuwa nayo
Syo mbongo akishaona ana hela anaanza kuleta dharau
Jamaa wateja wanunuz wengi wa mkoani aliwakamata
Ova
Kuna kijana wake mmoja anaishi Canada
Ila huyu mzee alikuwa anaijua hela,licha ya utajiri wake kama kawaida yao bado wanaishi kwenye flats za nhc[emoji23][emoji23]
Ova
Angefariki kipindi Cha jiwe tungesema account zake za benki zimefungwa na kodi kapigiwa mahesabu makubwa ya kulipiaBora amefariki kipindi cha Samia, ingelikuwa kipindi cha Magufuri tungelisikia corona imefanya yake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji16]kuna watu walimchikia Magufuri,mpaka kila baya lote lililotokea lililetwa na Magufuri,kaondoka hatusikii nyimbo za corona tena.
Unataka kumsema Yule Kijana Vunja bei au?? Mana kila siku media...siku akiyumba Kidogo atawakoma wabongo...Hata Media hataionjaHAFAHAMIKI SANA KWA SABABU TAJIRI, WASIONAZO NDIO WENYE KELELE
Unataka kumsema Yule Kijana Vunja bei au?? Mana kila siku media...siku akiyumba Kidogo atawakoma wabongo...Hata Media hataionja
Ungesikia corona..Sawa, R.I.P, ila ingekuwa kipindi cha mwendazake, yangezushwa mengi
Huyo ndo tajiri sasa,sukari unayotumia akiifungia tu hupatiEeh matajiri wengi, simfaham huyu.
Yameandikwa SundropYale mafuta ya alizeti chupa imeandikwa Murzah sasa mwenye kampuni ndio huyu Marehemu
Sukari Ni yeye tu na mo.ana helaaaa kama hewa yaaniHawa ndio walikuwa wameshikilia importation ya sukari nchini, yeye, mo na bakhressa.
Huyu si ndie aliyeshika soko la sukari karibu viwanda vyote yeye ndo super agent au kuna mwingine?Daaah, Mzeee alikuwa Tycoon aliyeshika sawa sawa Soko la Bidhaa za Sukari, Mafuta ya kula nk.
Nitakumbuka sana Foleni za Dukani kwake hapo Kitumbini Daaaslam wakati wa Ujana wangu nikipambana na Maisha. Mungu amuweke mahala Pema.