SPECIAL TMN
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,111
- 803
Ndiyo maana hata mimi nikasema hapo ni makataba ndo unaongea na watu hawaelewi na pia suala la mkataba ni suala pana sana ukienda kichwa kichwa utapigwa za uso.Hata kama Huna kitu au huna mamlaka usikubali kuwa zoba kwenye maisha
Unaweza ukatumia ubinadamu kumbe watu wanaroho mbaya kinoma
Na unaweza vunja mkataba kienyeji sababu hao watu ni wahuni
Kuna siku atakuja tena atakuambia tuliingia mkataba wa million 900 wa kuleta malori na hukuleta na unatakiwa ulipe
Mambo ya mikataba hayaendi kienyeji enyeji watu wengi hawaeleweli pale hakuna ubinaadamu ni mkataba unasemaje