Mfanyabiashara anapomuogopa mteja. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfanyabiashara anapomuogopa mteja.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by St. Paka Mweusi, Dec 29, 2010.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Siku moja wakati bado nahangaika na ujana niliwahi kupitia sehemu ambapo mtu anaweza kununua huduma.Nilipokagua bidhaa zilizopo sokoni siku hiyo nikaridhika na moja iliyokuwa na miaka takriban 22,nikaulizia bei,kabla ya kupewa jibu nikaulizwa lakini hauna kubwa wewe?Nikashangaa he!Wewe mfanyabiashara gani unaogopa mteja?Na umejuaje kama nina kubwa au ndogo.Sasa swali langu kwa leo ni vitu gani katika maumbile ya binadamu vinavyoweza kuashiria size ya mtu awe X au Y.
   
 2. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah! mjita kwa mademu cheki nyayo
  ikiwa imesambaa ujue hapo bwawa la mtera
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Sawasawa nimekusoma mkuu.
   
 4. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,477
  Likes Received: 2,059
  Trophy Points: 280
  nadhani wewe ulikuwa una bargain wakati dudu bwasha limesimama ndio maana akakuogopa
   
 5. semango

  semango JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  duuuh!sikuwahi kujua kunaviashiria.hapa kweli wengi tunahitaji somo
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Hahahahahahahaah, Mzee huo unaitwa moto wa Fuso.
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Mkuu vipo vingi tu ngoja waje hapa watujulishe,
   
 8. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyingine kwa madem cheki kifundo cha mguu (ankle)
  kikiwa kimevimba hapo mambo mnato babu raha kwenda mbele
   
 9. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Sawasawa mtu wangu.
   
 10. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  siku hizi umeacha, au bado unaendelea?
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Na nini?
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Jinsia nyingine naona wamejificha ngoja nimsubiri Preta labda atanisaidia.
   
 13. LD

  LD JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  The Following User Says Thank You to Mtu Mmoja For This Useful Post:

  LD (Today) ​
   
Loading...