kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,568
- 2,209
Mfanyabiashara nchini Nigeria, amebakwa na wake zake 5 hadi kufa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mpaka kafwaMwanaume kubakwa na wanawake ni Bahati hiyo
Mtu kama aise anaomba abakwe na mdada angalau apate utamuBahati mpaka kafwa
Jr[emoji769]
HahaaWanaume wa mikoani hovyo kabisa, huyo ni mwenzenu ametangulia mbele za haki,hamuwezi kustahimili ongezeko la kazi.
Huogopi kufa??
Hakuna Atakaye ishi Daima .... so napo fikiriaga hilo huwa inanifanya nisikiogope kifo .Huogopi kufa??
Eti jamaniii...inasimama kabisaaa au inakuwaje?..lol😅Hahahahahhh
Mwanaume anabakwaje
Kufa kwa kubakwa...aiseeeHakuna Atakaye ishi Daima .... so napo fikiriaga hilo huwa inanifanya nisikiogope kifo .
Hakuna sababu ya kukiogopa kifo ..wakati ukweli ni kwamba Lazima ipo siku Utakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nimeshangaa na mimiEti jamaniii...inasimama kabisaaa au inakuwaje?..lol😅
Hahaa .. who knows the secret of his death..!?Kufa kwa kubakwa...aiseee