Mfano huu wa Rais wa Zambia mheshimiwa Sata unafaa kuigwa na JK!

Gwallo

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
3,200
3,761
Rais wa Zambia mheshimiwa Sata amesitisha shughuli zote za kusafirisha Shaba kutoka Nchini mwake, amesema mpaka hapo kanuni na utaratibu zilizowekwa kuangalia upya na Serikali yake.

Vipi hii stop kama JK angepiga maarufuku kusafirisha madini ya Tanzania, halafu akaagiza mikataba yote ichunguzwe upya haiwezekani??????????????

Nawasilisha.
 
Maamuzi magumu JK hawezi kesha vaa suti zao akina Barrick hawezi .Kesha tuuza sote atawaeleza nini ? Hawezi kuamua hata kumwacha Rostam ndiyo atawagusa wezi wake anawaita wawekezaji ? Uamuzi mzito si jambo la mchezo .
 
Hili nafikiri litatokea nchini mwetu pale tu magamba yakikabidhi madaraka.
 
kaka hiyo ni nzuri bali kwa kumbukumbu zangu KABIRA SENIOR aliaply hiyo akafuta mikataba yoote ya madini wezi walioingia na mobitu, ikawa ni moja ya sababu ya umauti wake. yaani itoshe tu kuelewa hawa viongozi tulionao ni mihuri tu, wako zaidi kwa maslahi ya mabeberu. wanaoenda kinyume basi kila kukicha ni vikwazo na kuandamwa, mfano yuko wapi Saddam hussein. gaddafi , mzee mugabe, jonas savimbi walimtumiiiiiaaaaaaaaaaa walipotosheka ni wao ndio waliotoa taarifa yuko wapi na akaenda kuuawa. sijui bro huyo wa zambia tumuombee dua labda atakuwa mfano mzuri kwa akina magamba.
 
Ni ukweli usiopingika kwamba viongozi wetu wengi wa Afrika wamekuwa vibara wa nchi za ng'ambo. Sata ameanza vizuri Mungu amsaidie kwenye safari hii ya uongozi.
 
Back
Top Bottom