mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 16,270
- 36,627
Nimeishi Pemba na nimeishi Simiyu hiki ndio nilikigundua,hawa watu kuna vitu vingi wanashare,hataukienda Zanzibar kuna wasukuma na wanyamwezi wengi japo usukumani wapemba ni wachache,Zamani pale mwanza kulikuwa na mgahawa maarufu kama Chakechake,wananzengo mnaukumbuka?
Twende sasa
1. Kuoa na kuolewa mapema
Kukuta binti wa miaka 15 kaolewa na kijana wa miaka 20 kaoa ni kawaida, kwa jamii zingine hicho kitu hakipo.
2. Mimba za utotoni
Uchagani ukimjaza mwanafunzi mimba au binti chini yamiska 18 awe anasoma au hasomi kimbia haraka miaka 30 inakusubiri, hali ni tofauti usukumani na upembani. Clinic kuna mabinti wanaenda kujifungua na miaka 14 na hakuna shida.
3. Kuoa wake wengi
Kwa pemba dini inaruhusu ila usukumani uwekafiri muislam au mkristo wake wengi ni jadi yao.
4. Kuzaa watoto wengi
Hizo pande bado watu wanazaa watoto 12 kama wana wa israel.
5. Ulozi
Watu wanaroga sana pande hizo Mpemba na majini msukuma kuruka na ungo, ila kwa ndumba msukuma yuko juu kidogo kwa mpemba.
Cha kushangaza Kanda ya Ziwa ina single mamas maarufu kama wasimbe wengi kuliko kuliko pemba, kukuta nyumba ina wasimbe wawili au watatu ni kawaida sana. Pemba ukiacha mke leo ikipita eda anaolewa fasta, usukumani ukiachwa kuolewa tena ngumu sana.
Itaendelra......