KirilOriginal JF-Expert Member Feb 13, 2012 2,161 1,147 Jun 15, 2013 #2 englibertm said: Click to expand... Mkuu wapi hii manake Serengeti tumezoea haya matukio, ya wapi hii nayo.
englibertm said: Click to expand... Mkuu wapi hii manake Serengeti tumezoea haya matukio, ya wapi hii nayo.
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,028 54,321 Jun 15, 2013 #5 Simba kumkamata Nyati si kazi rahisi Lazima atumie timing kali sana. Nyati huwa wana umoja sana.
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Jun 16, 2013 #7 Hata uwe mfalme....bila wafuasi you're nothing. Hapo ni kweli kabisa wafuasi wameamua kufanya kweli kutetea haki zao
Hata uwe mfalme....bila wafuasi you're nothing. Hapo ni kweli kabisa wafuasi wameamua kufanya kweli kutetea haki zao
Mwanahisa JF-Expert Member Jun 29, 2012 1,382 510 Jun 16, 2013 #8 Simba kapakatwa huyu, wa hapo k'nyama....!