Mfahamu vizuri Sebastian Maganga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfahamu vizuri Sebastian Maganga

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mkonowapaka, Mar 29, 2012.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  huyu jamaa alianzia redio kadhaa za jijini kabla hajachomoka kwenda nje miaka iyo na kurudi kwa kasi ya ajabu moja kwa moja mjengoni Clouds Media.

  jamaa ni jembe.

  yeye ndo program manager wa vipindi karibu vyote vya clouds na ndo anatoa mwelekeo wa kipindi kizima kiweje na mtangazaji aongee je.....binafsi kama ndivyo ilivyo basi anastahili pongezi kwa kazi nzuri.....

  ila wanasema behind every successful man there is a Woman.....tunaomba data hapa!!...:violin:
   
 2. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Upuuzi huu!! Mtu unatoa sifa ndeefu bila details zozote afu heading eti mfahamu vizuri sujui nini nini!?
   
 3. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,683
  Trophy Points: 280
  Kwanza uliyoandika mengine ni uongo! Alafu data shallow then unaweka title kubwa kama umejiandaa! Seba amekwenda Mawingu akitokea radio uhuru alikotaka kufanya mabadiliko makubwa(ikiwemo kubadili jina la radio kutoka Radio Uhuru kuwa Uhuru Fm) kule Uhuru alikumbana na vikwazo kibao kabla Ruge hajamvuta Mawingu kuokoa jahazi.Kabla ya Uhuru Seba amewahi kufanya kazi Radio One pia.Pale Mawingu binafsi sioni ubunifu ule wa zamani na bado wanasikilizwa sababu ya ushindani mdogo wa radio pamoja na utitiri wa radio Tz hivi sasa! Kwahiyo Program manager wa mawingu kabla ya Seba naona alikuwa kichwa zaidi! Seba namuheshimu sana lakini kama yeye ndio program manager pale mawingu basi yeye ndio sura ya Clouds ya leo!
   
 4. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Ndo anaruhusu majamaa watukane live on air
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  jana kibonde alisema neno ******,wakat kuna jina mmbadala la ku2mia kwenye hadhara,c angesema MAKALIO au MASABURI,
  huyo program meneja anaruhusu ushuz huo!
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  "Kibonde anatukana ovyo radion hana akili kichwani au anavyosambaza drum makusudi mitaani"--Sugu
   
 7. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Seba ni mtu wa visasi na chuki nakumbuka alipohamia Uhuru ndio sisi tuliokuwa vijana wakati huo na wenzake waliokimbia kutoka Radio one walitaka kupandikiza mbegu za chuki kwa watu kuhusu Ippmedia kitu ambacho nimekiona kwa wengi wanaokuzwa na hii kampuni wakishapata umaarufu na soko lao kutanuka (popularity) wanafanya ambayo kwa mimi naona ni ushamba na upungufu wa nidhamu.

  Tangu ameenda clouds sijaona ubunifu zaidi ya kuhamishia wimbi la IPP na Uhuru kwenda huko mfano; Mwalekwa,Janet, Husna Makau, Milad Ayo na sasa naona Musa wa uswazi. Mtu mbunifu analeta vitu vipya na vyenye changamoto sasa yeye anachofanya ni watu wa ndio Mzee anyway labda Clouds wanataka kuwa kama Radio one labda kwani mbinu moja wapo ya wewe kubadilika ni pamoja na kuchukua hata sura ya mbele ya adui au mshindani wako
   
 8. g

  gwambali JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mmmh! Hayanihusu nimeingia bahati mbaya...
   
 9. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Ni nani huyo Seba?
   
 10. Nyundo Kavu

  Nyundo Kavu Senior Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  hamna kitu hapa,,,, nadhani mleta mada katumwa,,,,,,,,,,,,,,,,,,
   
 11. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2016
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Seba kapigwa chini nini,naona shafii dauda kachukua nafasi yake
   
 12. M

  Mtanzanyika JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2016
  Joined: Feb 12, 2015
  Messages: 258
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 60
  Mleta mada umetumwa alafu aliyekutuma hajakutuma vizuri.! Rudi kamwambie akupe details za kutosha na zenye ukweli.!
  Seba nje huko alienda lini.? Labda nje ya nyumba au nje ya ndoa, Seba alitoka Radio one akaenda Radio Uhuru alikuwa anatangaza kipindi kinaitwa "DEIWAKA" kilikuwa kinaruka hewani kila siku za wiki saa 8 mpaka saa 10. Pia alikuwa Meneja wa Noorah enzi za VIJIMAMBO.! Huyo ndo Seba ninayemfahamu mimi kidogo kabla hajaenda Clouds Media Group..!!
   
 13. P

  PAGAN JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2016
  Joined: Aug 19, 2014
  Messages: 6,099
  Likes Received: 6,648
  Trophy Points: 280
  Anzisha threads za Amina Chifupa na Julius Nyaisanga pia. Hata kama huna details zao we anzisha tu JF atulipii kwahiyo we andika chochote tu.
   
 14. mrangi

  mrangi JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2016
  Joined: Feb 19, 2014
  Messages: 22,020
  Likes Received: 9,308
  Trophy Points: 280
  Alikuwa meneja wa gang we mob pia
   
 15. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2016
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Watu wa Jukwaa la Kilimo wanapoingia Jukwaa la watu wa town!!
   
 16. Mack Wild

  Mack Wild JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2016
  Joined: Apr 25, 2013
  Messages: 4,335
  Likes Received: 2,760
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa! Nway ni wanaume wa dar
   
 17. Wakuacha

  Wakuacha JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2016
  Joined: May 19, 2015
  Messages: 1,965
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Wanaume Wa Dar aiseeee
   
 18. muhomakilo jr

  muhomakilo jr JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2016
  Joined: Jul 28, 2013
  Messages: 10,146
  Likes Received: 3,248
  Trophy Points: 280
  Mleta uzi ndiye Seba mwenyewe....ha ha ha.
   
Loading...