Mfahamu Stephen Hawking, Mwanasayansi Aliyeitwa Mrithi Sahihi wa Albert Einstein


 
Wanasayansi niambieni ni formula gani ulipelekea moto kutoka mbinguni kuteketeza maji kipindi kile Cha nabii Elia.

Inawezekanaje moto ukateketeza maji.
Zile ni ngano tuu kama zile za alfu lela ulela
 
kama umeelewa tusaidiane ndugu
Mkuu, haya mambo si ya kila mtu.pole lakini mwamba kaelezea vizuri sana.

Kwa kifupi ni hivi:
Jinsi kasi inavyoongezeka ndio muda unapungua,

mfano ukipewa kazi ya kutembea umbali fulani, lets say kilomita moja, na unauwezo wa kutembea kwa mwendo kasi wa 1m/s, then utatumia sekunde 1000 ambazo ni sawa na takriban dakika 17.

Sasa kwa umbali huo huo kama ukiongeza kasi ukawa unatembea kwa mwendo kasi wa 2m/s, then muda utakao tumia ni takribani dakika 8:30.

Therefore kumbe kwa maana hiyo kasi ikiongezeka muda unapungua.

sasa hapo ndipo mwamba akaja na nadharia yake ya kwamba kama ukienda sawa na kasi ya mwanga basi waweza simamisha muda na kama ukienda zaidi na kasi ya mwanga waweza kurudisha muda nyuma.

Hope umeelewa mkuu.

Respect....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww ndo umekuja kunivuruga kabisa mweeeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wana science wanatufanya wavivu wa kufikiri, Si kweli kwamba kasi ikiogezeka ndio muda unapungua bali unafanya mambo mengi kwa muda mchache na kamwe huwezi kusimamisha muda au kurudisha nyuma, yaani mnataka mniambie kwamba nikienda speed zaidi ya Mwanga naweza kurudi nyuma nizaliwe upya?...πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
Mwambie huyo mkuu, sio integration tu, mpaka INFINITE SERIES, kumbuka pia kabla ya mwaka 1666 dunia ilikuwa inajua Mwanga ni kitu kimoja ambacho hakina vitu vingine ndani yake lakini huyu mwamba aliweza kutumia prizimu ya kioo aliyoiunda mwenyewe na kufanikiwa kuuvunja mwanga kwenye rangi saba ndiyo dunia ikang'amua kwamba kumbe hata upinde wa mvua sio tu kwamba ni agano kati ya Mungu na Nuhu kwamba hataiangamiza tena dunia kwa maji bali pia ni kuonesha kwamba mwanga unaweza kuuvunja kwenda kwenye vipande 7 ambazo ndiyo zile rangi 7 (ROYGBIV).
 
Kuzaliwa upya hautaweza lakini utaweza kujiona ulivyokuwa unazaliwa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yanii wew ndo hujuii kituu... Waliogundua Basic knowledge kama hizo ambazo zinakuwa applied in alot of issues ndo noma..!! Tatzo unabase sana kweny Hesabu ilaa Newton kapita kotee... Hesabu...physics...
Na mara nyingi MODIFIER ndiyo anaonekana noma zaidi ya INVENTOR sijui kwanini? Unakuta mtu aliyewapa msingi wa kitu au vitu ndiyo wanamuona rofa na mamodifaya sasa ndiyo wanapewa vichwa sijui kwanini? Mimi nafikiri aliyetoa msingi ndiye anastahili heshima maana ndiyo alikuonesha njia hata ikafikia hatua ukamkosoa!
 
Madhara ya kusoma mavitu magumu ya ajabu Mungu aliyoyafanya siri, Matokeo yake ndio hayo. Unaugua ugonjwa wa ajabu dunian

infact Hawa watu they changed the world..
Kama sio Hawa wateule kujitoa maisha yao kwa ajili ya hayo mavitu ya ajabu Leo hii wewe usingekuwa unabofyabofya hata hiyo smartphone na kukomenti ujinga humu jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…