Mfahamu Slay queen

Mfahamu Slay queen

Slay q ni wanawake wanaoishi kwenye majiji makubwa bila kuwa na kazi rasmi mjini wakitegemea kuhongwa au kujiuza kwa barabarani au mitandaoni

Kiufupi ni wanawake wanaopenda maisha mazuri kwa namna yeyote ile hii ipo dunia nzima
Ila kwa Africa nigeria na tanzania zinaongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania, Hivi unaujua Kenya vizuri? Hapo kwa Nigeria nakubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Slay q ni wanawake wanaoishi kwenye majiji makubwa bila kuwa na kazi rasmi mjini wakitegemea kuhongwa au kujiuza kwa barabarani au mitandaoni

Kiufupi ni wanawake wanaopenda maisha mazuri kwa namna yeyote ile hii ipo dunia nzima
Ila kwa Africa nigeria na tanzania zinaongoza

Sent using Jamii Forums mobile app

Jf wapo wengi sana,utaona watu wanachat hapa kama utani vile mara utasikia afu mpwa wangu kale ka mzigo vipi tena,unaona kidume anavimba oooh ulisema ni kwny no. Ya Voda eeeh hahah.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
1..ni magold diggers yenye utajiri wa kuigiza kweny mitandao ya kijamii lakini kiuhalisia ni zero.
2.ndo mabingwa wakuita wanaume broke niggarz ..
3.wanajua kuvaa vichupi na kuning'ing'inia kweny swimming pools hasa kweny hotel kubwa ili kutega mabwana za watu..
4.ukiwaona unaeza hisi labda hawanyi,hawakojoi,hawatemi mate n.k
5.huwa wanatokea uswahilini ila wakifika mjini wote ni wa kishua...matako yao...
 
Back
Top Bottom