Mfahamu ‘plover bird’, mswaki wa mamba

Naongezea kama nitakuwa sahihi.
Kukipa chakula umbo litakalopita katika njia ya chakula kirahisi. Meno utafuna na ulimi uzungusha chakula kwa mdomo na kusaidia katika umezwaji wa chakula
Aisee ni kweli,ulimi ni kama kiuno.
 
Acha kudanganya watu. Mamba(crocodile) hana ulimi, mwenye ulimi Ni Alligator. Hayo mapicha picha siyo mamba ni alligator ambaye kama humjui unaweza kushindwa kumtofautisha na mamba. Kuna Croc na Alligator.
We binadamu una ubishi usio na maana. Ubishi wa kijinga!
Pamoja na kupewa references kibao, bado endelea kubisha tu.

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Naongezea kama nitakuwa sahihi.
Kukipa chakula umbo litakalopita katika njia ya chakula kirahisi. Meno utafuna na ulimi uzungusha chakula kwa mdomo na kusaidia katika umezwaji wa chakula
Ni sahihi, according to form 3 biology
 
Halafu mtu anasimama na kusema ati hakuna Mungu,

Symbiosis at work
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…