Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,784
- 60,119
Duuuh umekuja bongo kimya[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15]
Hatutafutani? Haya buana
Mbona nasikia babu kavuuta asee, sema protocol zinazingatiwa ( mgawanyo mali[emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Utumbo tu.Topic ilikuwa ni ya mamba (Nile Crocodile )
Africa hatuna Alligator, kubali haujui alafu fanya utafiti kuliko kubaki na ujinga milele. Kutokujua sio kosa ila kubaki hujui ndio shida.
Kwa hiyo unajiona wewe ndio mwenye ufahamu kuliko wote sio
Kijana ni mjuaji balaa huyo, naona uliamua kusurrender yaishe. Amenifanya mpaka nimeingia google kumthibitishia.Kwa hiyo unajiona wewe ndio mwenye ufahamu kuliko wote sio
Halafu uwe na heshima kuita watu usiowajua waongo ok
Yaani Google crocs atokee alligator
Inaonekana unapenda ligi sana au una tatizo la akili
Let me ignore you
Kijana ni mjuaji balaa huyo, naona uliamua kusurrender yaishe. Amenifanya mpaka nimeingia google kumthibitishia.
Waingereza wana midomo mswahili anasubiri..[emoji1787][emoji1787][emoji23]Hahaha
Usijali ipo siku
Kuhusu mzee inawezekana ila habari zingekuwa nje maana kwa wanoko huku hatujambo [emoji23][emoji23]
Ha ha ha[emoji23]Kwa hiyo unajiona wewe ndio mwenye ufahamu kuliko wote sio
Halafu uwe na heshima kuita watu usiowajua waongo ok
Yaani Google crocs atokee alligator
Inaonekana unapenda ligi sana au una tatizo la akili
Let me ignore you
Nonsense.Huyo ndege kwakuwa ni nature aliyoiumba Mungu hataliwa na mamba ila CCM haikuumbwa na mungu na wala Mungu hakuwaumba watanzania wajinga hata wasione uovu unaofanywa na CCM ipo siku mtajichanganya kikwete alijua kula na vipofu ila huyu wasasa anaamini anaweza kuwatiisha watu 60 milioni Kama anavyomtiisha jeska wake.
Waingereza wana midomo mswahili anasubiri..[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Kwahiyo Harry ndo kaikacha Buckingham mazima?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nonsense mama yakoNonsense.
Kama CCM inavyobet na maisha ya watzUyo ndege anachezea shilingi chooni.
Nonsense.Nonsense mama yako
Kuonja ladha ya chakula.Najiuliza hivi kazi ya ulimi in IPI?
!.
Na ulimir ndo unakufanya ujue ladha ya papuchi kuwa ni chunvi chunvi.Kupiga deki kwenye papuchi.
Saidia kuumba tofauti ya matamshiNajiuliza hivi kazi ya ulimi in IPI?
!.
Naongezea kama nitakuwa sahihi.Saidia kuumba tofauti ya matamshi
Kusaidia kujua ladha
Mbung'o maumivu yake siyo Sana, ila kuna mkubwa wake anaitwa Ndorobo, huyu Mkuu ni hatari akiuma, fraction of second damu inayotoka utadhani umekatwa na kisu.Umeongea UONGO kuhusu Mbung'o. Mimi nimeumwa sana na hawa wadudu Arusha na Singida kwenye mapori. Si kweli kuwa ni zaidi ya maumivu ya sindano ya hosp. Huo ni UONGO MKUBWA. ni maumivu ya kawaida ya kukera tu. Tulikuwa tunatembea na kukaa porini ambako mbung'o ni wengi sana . Huo ugonjwa pia umeukuza. Huwezi ukalala ukiwa unaoga. Labda uwe unaoga umelala majini. Si vizuri kudanganya na watu wazima wamo humu na wenye uzoefu wamo. SI VIZURI.
Jiongeze,muda wakulalama umeisha.Kama CCM inavyobet na maisha ya watz
Matamshi pia ni kazi mojawapo ya ulimi bana,yeroo we mepatia amuu engayon memorata doi,Ashe naleng.Saidia kuumba tofauti ya matamshi
Kusaidia kujua ladha