Mfahamu Naftali Bennett, Waziri Mkuu mtarajiwa wa Israel

Nasemaje..iran hawana akil hyo...general wao yule mlipuaj mabomu.alitoweshwa sebulen kwao kabisa...iran bure kabisaaa..yaan ndo muslim territory iliyobak dunian ila wanavyonyooshwa had huruma nakumbuka walivyokua wanaomba msaada kwenye korona..dah aibu..wanawaomba wamarekan..dah
halafu kuna watu wanajitoa ufahamu humu
 
Kama kweli ni bure kwanini Israel anahaha kila uchwao kuhusu Iran? jana Netanyahu alipokuwa anaaga hotuba yake ya mwisho bado analialia kwa Marekani kwanini amekubali kuzungumza na Iran, sasa nashangaa nyie mnapoona Iran ni kama Tanzania
Ngoja uone huyu mwamba atakachofanya
 
Japo umeandika kwa hisia zaidi, lakini umeweka facts tupu! Ni ukweli usiopingika dunia inapigia kelele actions za Israel peke yake, maadui wa Israel hata kukemewa hawakemewi!
Kweli yaani magaidi wa kipalestina wanapoirushia Israel maroketi na kuwachoma visu mayahudi dunia ipo kimya lakini Israel ikijibu mashambulizi dunia yote itapiga kelele na kuilaani Israel inawakandamiza wapalestina
 
Kwani Iran kutokuwa mwarabu ndio hapigiki au Ukiwa sio mwarabu ndio unashinda vita hizi fikra za kitoto sana mnazodanganyana radio Imani
Tunaweka kumbukumbu sawa, maana humu ndani kumekuwa na tabia ya kumlinganisha Iran na nchi dhaifu za kiarabu, Israel toka atangaze nchi yake ile miaka ya 1947 hajawai kumpiga Iran wala Iran hajapigana na Israel, so kushindwa kwa waarabu wasimuhusishe Iran, maana Iran kuwa taifa kubwa lenye nguvu hawajaanza jana, hawa watu spirit yao na wale waarabu wala urojo ni tofauti
 
Kweli yaani magaidi wa kipalestina wanapoirushia Israel maroketi na kuwachoma visu mayahudi dunia ipo kimya lakini Israel ikijibu mashambulizi dunia yote itapiga kelele na kuilaani Israel inawakandamiza wapalestina
Kama wanataka fair fighting wa waache wapalestina nao wanunue silaha, vile vizuizi vitolewe hapo Dunia itakuwa kimya, sasa huyu Israel ananunua madege ya kivita makubwa makubwa halafu Palestina Ata ndege moja hana maana harusiwi kumiliki, kwanini Dunia isiingilie?
 
hawa wanapenda huruma tu
 
Tunaweka kumbukumbu sawa, maana humu ndani kumekuwa na tabia ya kumlinganisha Iran na nchi dhaifu za kiarabu, Israel toka atangaze nchi yake ile miaka ya 1947 hajawai kumpiga Iran wala Iran hajapigana na Israel, so kushindwa kwa waarabu wasimuhusishe Iran, maana Iran kuwa taifa kubwa lenye nguvu hawajaanza jana, hawa watu spirit yao na wale waarabu wala urojo ni tofauti
Iran hii hii iliyotolewa jasho na Iraq kwa miaka 8 wakisaidiwa na USA? au nyingine
 
Iran hii hii iliyotolewa jasho na Iraq kwa miaka 8 wakisaidiwa na USA? au nyingine
Hakuna nchi isiyo pitia misuko suko, lakin sasa iko stable, ile ni nchi ya kimapinduzi kutibu majeraha inataka mda,Iraq alitaka kutumia faida ya Iran kuwa katika kipindi cha mpito cha mapinduzi 1979, ili yeye awe ndio mkubwa, lakini wap pamoja na mazingira hayo lakini Iran ilisimama imara na kupigana vita kwa miaka 8, ili ni la kupongezwa, maana Iraq alikuwa na support ya UK, USSR, France na nchi za kiarabu
 
Kama wanataka fair fighting wa waache wapalestina nao wanunue silaha, vile vizuizi vitolewe hapo Dunia itakuwa kimya, sasa huyu Israel ananunua madege ya kivita makubwa makubwa halafu Palestina Ata ndege moja hana maana harusiwi kumiliki, kwanini Dunia isiingilie?
Hela yenyewe ya kununulia wanayo basi au unapiga kelele tu hapa, na hata wakinunua zitakuwa zinapaki wapi maana hata kiwanja Cha ndege hawana
 
Unajua kuna mda mnashangaza sana, yaani katika nchi kumi zenye Jeshi imara Israel hayupo, Ata Nchi kumi zenye GDP kubwa Israel hayupo, hizi sifa mnazo wapa ni vichekesho sana
ni kweli hata top 10 awapo. lakin wamewezaje ku survive miaka yote hii licha ya kuwa wamezungukwa na maadui pande zote
 
Back
Top Bottom