Mfahamu Naftali Bennett, Waziri Mkuu mtarajiwa wa Israel

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
12,926
2,000
Umeona sasa mwarabu asili yake ni jangwa la Syria na Arabian peninsula, lakini hawa wa waajemi asili Yao ni tofauti ambayo ni Indo -Uzungu, Kwahiyo sio lugha tu Ata Asili hawafanani sasa watakuwaje kitu kimoja? hawa ni tofauti hapa Myahudi kazi anayo
Unajua Wafina na Watu wa songea asili yao ni S.A ila wote watanzania

hao wote ni waafrika so hao ni waarabu tu
 
ielewemitaa

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
5,444

Kama ujaelewa basi uelewi tena, Utanzania ni mipaka ya wazungu, lakini asili ni chimbuko hivyo kwa kutofautiana chimbuko ndio tofauti utokea, ndio maana Turkey anapata tabu na Wakurdi mpaka leo, maana aliegawanya ile mipaka akuwazingatia wao ni wengi sana na wanachimbuko tofauti na hao wa turkey , mpaka sasa wanadai nchi yao wenyewe maana wanatosha sana
 
Waajemi ni.Waarabu.tu kama.wa saudia
 
Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
8,772
2,000
Iran alishamlimisha sana Israel mashamba, au unafikiri Iran ni Tanzania? acha kufananisha wa Iran na waarabu wako wala urojo
Nasemaje..iran hawana akil hyo...general wao yule mlipuaj mabomu.alitoweshwa sebulen kwao kabisa...iran bure kabisaaa..yaan ndo muslim territory iliyobak dunian ila wanavyonyooshwa had huruma nakumbuka walivyokua wanaomba msaada kwenye korona..dah aibu..wanawaomba wamarekan..dah
 
Kama kweli ni bure kwanini Israel anahaha kila uchwao kuhusu Iran? jana Netanyahu alipokuwa anaaga hotuba yake ya mwisho bado analialia kwa Marekani kwanini amekubali kuzungumza na Iran, sasa nashangaa nyie mnapoona Iran ni kama Tanzania
 
Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,619
2,000
Kama kweli ni bure kwanini Israel anahaha kila uchwao kuhusu Iran? jana Netanyahu alipokuwa anaaga hotuba yake ya mwisho bado analialia kwa Marekani kwanini amekubali kuzungumza na Iran, sasa nashangaa nyie mnapoona Iran ni kama Tanzania
Hi.
Mada kama hizi zinatakiwa zijadiliwe na watu huru, ukishakuwa na mrengo fulani, ni lazima upate shida sana. Iran ni kijogoo kinachoinuka na pengine kinaweza kuja kuwa tishio siku za usoni tuendako. Western world wanamwona Iran ni kimeo tangu mapinduzi matukufu ya Iran 1979(kama sijakosea) yaliyomwondosha Shah wa Iran aliyekuwa kibaraka wa USA.
Kutawala dunia ni tamanio la hawa wenzetu wa Magharibi kwa njia yo yote ile. Anapotokea mwenye dalili za kupingana nao, basi huyo ni lazima aondoshwe kwa gharama yo yote.

Kwa wasio jua, Uajemi ni dola lililowahi kutawala dunia ya zamani hizo, kwa hiyo usiwabeze hata kidogo. Miaka hiyo ya Babeli hawa jamaa walikuwepo, Warumi waliwakuta tayari wana dola imara.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom