Mfahamu Naftali Bennett, Waziri Mkuu mtarajiwa wa Israel

Unadhani GDP na Uimara unaouzungumzia ungekuwa unafanya kazi Si Mngemshinda kwenye ile vita ya SIKU6??

Aliwaburuza Waarabu wote mkaufyata
Kwani hao waarabu ni yupi yupo katika nchi 10 zenye Jeshi imara? yaani unapiga wachovu wenzako halafu unajiona mtabe? ahahahahaha Dunia ni Pana wewe sio ya Muisrael na Muarabu tuuu
 
Nani kakwambia IRAN ni mwarabu? ebu Pata muda fatilia, Kenya wanaongea kiingereza mda wote, hiyo haiwafanyi wa Kenya wawe wazungu
So waajemi na waarabu wanatofauti gani??

ni kama India, Pakistani na Bangladeshi

au China/ Korea/Japan/Mongolia

au Indonesia/Philipine

hawa wote wanafanana tu
 
Kwani hao waarabu ni yupi yupo katika nchi 10 zenye Jeshi imara? yaani unapiga wachovu wenzako halafu unajiona mtabe? ahahahahaha Dunia ni Pana wewe sio ya Muisrael na Muarabu tuuu

Kufanana hakukufanyi kuwa sawa, China sio Korea wala sio mjapan, kila mtu ana lugha yake na tamaduni zake, hivyo hivyo muajem sio muarabu
Huyu ni Mwarabu kama wengine tu hana tofauti na ana kila elements za kiarabu, so Misri, Libya, Tunisia na Morocco sio waarabu kwakuwa wapo Africa?
 
Kuna kitu huwa sielewi kwa wafuasi wa mrengo wa kushoto... Israel akituliza ghasia Wanahamaki sana and wanawafumba macho kwa waletafujo na ghasia... Hamas akianza ujinga kurusha maroketi huwa hawaoni wala kuionya Hamas ila Israel akianza kutoa kichapo huja juu oh Wapalestina wanaonewa oh Israel inatumia nguvi nyingi maandamano dunia nzima kwa wajinga niite hivyo kwasababu vita zingine no maandamano only for Israel ndio maana tunasema ni ubaguzi tu wa majinga...

Uturiki inaua vibaya wakudri no one care katika Isramic world, Saudia anatoa kichapo kwa Yemen no one care katika Islamic world pumbavu...

Wacha Israel alinde nchi yake kwa magaidi ya Hamas..

Hakuna machungu yaliyowahi shuhudia Israel kuiachia Gaza kwa Utawala wa Arabs and then Hamas akafanya mapinduzi.. Waisrael wakazi walilia sana hadi wanajeshi katika kuwahamisha huko ukanda wa Gaza na lengo kuu ilikuwa ni Amani mwishowe imegeuka laana kuchokozwa kila siku.. i hope one day laana itaisha na Gaza yote itakaliwa tena na Waisrael mkiendelea nabuchokozi usioisha trust me...

Nchi yeyote inajilinda dhidi ya magaidi utake usitake... Boko haram Nigeria, porisalio Morocco, Ireland huko wapo, india wapo, afghanstan wapo, Uturuki wapo, Saudia wapo, Colombia wapo yemen wapo, Tanzania tuliwakimbiza wakaenda Msumbiji na nchi nyingi so hizo nchi zenyewe zikipambana na ugaidi ni sawa ila sio Israel ni mwendo wa maandamano na laana. Kwa unafiki huu Laana inawarejea watoaji pumbavu kabisa...

Iran instead kuwa kundi la kigaidi imekuwa nchi ya Magaidi kuitishia Israel hamna namna ya Israel kujilinda na kutokana na umbali wao kwa km kila mmoja anatumia njia anazoweza iran yeye makundi ya kigaidi anayoyasapoti ni mengi ikiwemo hamas na hezbollah so Israel anaishi kwa kuyadhoofisha kila uchao and njia nyingine ambayo ipo wazi ni kulipua vinu vya nukria vya iran so ugumu anapata kutoka kwa Usa tu... ila kazi ilishaisha zamani kwa netanyahu... Ulishazuia kombora la nukria ni hatua kubwa sana maana makombora mengine yanazuilika tu na hayana mass distructions.

Kwangu mimi kura yangu nampa Israel kumchapa Iran endapo atazidisha chuki na vitisho dhidi ya Israel... amen
Japo umeandika kwa hisia zaidi, lakini umeweka facts tupu! Ni ukweli usiopingika dunia inapigia kelele actions za Israel peke yake, maadui wa Israel hata kukemewa hawakemewi!
 
Labda utuambie muarabu ni mtu gani ili muajemi naye awe mwarabu? maana naona unalazimisha kisichokuwepo
We ndio utuambie tofauti ya Mwarabu na Muajemi maana kwangu mimi hawa ni sawa na makabila tu tofauti ila wanafanana

we unayeina wanatofautiana ndio utuambie tifauti zao
 
We ndio utuambie tofauti ya Mwarabu na Muajemi maana kwangu mimi hawa ni sawa na makabila tu tofauti ila wanafanana

we unayeina wanatofautiana ndio utuambie tifauti zao
Umeona sasa unaelewa uongo hawa ni watu wawili tofauti, waarabu Ata lugha yao ni kiarabu lakini waajemi wanaongea kifursi (Farsi) , Ata Asili Yao ni tofauti kabisa
 
Umeona sasa unaelewa uongo hawa ni watu wawili tofauti, waarabu Ata lugha yao ni kiarabu lakini waajemi wanaongea kifursi (Farsi) , Ata Asili Yao ni tofauti kabisa
So mnyamwezi na msukuma ni tofauti kwasababu ya lugha??
 
Umeona sasa mwarabu asili yake ni jangwa la Syria na Arabian peninsula, lakini hawa wa waajemi asili Yao ni tofauti ambayo ni Indo -Uzungu, Kwahiyo sio lugha tu Ata Asili hawafanani sasa watakuwaje kitu kimoja? hawa ni tofauti hapa Myahudi kazi anayo
Unajua Wafina na Watu wa songea asili yao ni S.A ila wote watanzania


hao wote ni waafrika so hao ni waarabu tu
 
Back
Top Bottom