Mfahamu Mfalme Leopard aliyetawala Congo na maasi aliyowafanyia Waafrika

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,280
Leopold II alitawala Congo na ilijulikana kama nchi ilikuwa mali yake binafsi, miaka ya 1835. Tofauti na ilivyokuwa South Afrika kama koloni la Uingereza Congo ilikuwa nchi huru chini ya Mfalime Leopard II

Leopold_ii_garter_knight.jpg

Leopold alizaliwa katika familia ya kifalme mwaka 1835, ujana wake ulikuwa wa kawaida katika makuzi ya kifalme, alitumia muda wake mwingi kujifunza kuwinda, kulenga shabaha, alijiunga na jeshi na alimuoa mtoto wa mfalme wa Austria lakini hakuna aliyetegemea kua atakuja kuwa muuaji wa kushindana na Hitler.

Leopold II aliapishwa kuwa mfalme mwaka 1865 na alitawala Ubelgiji, ndoto yake kubwa ikiwa kuiona Ubelgiji ikiwa na koloni nje ya Ulaya kama ilivyokuwa kwa mataifa makubwa kama Uingereza, Ufaransa, Hispania na Ureno.

Jicho lake la kwanza lilikuwa kuichukua Ufilipino wakati huo likiwa koloni la Hispania. Alitengeneza dili na Malkia Isabella, lakini kabla ya makubaliano kufikia mwisho, malikia Isabella alipinduliwa. Leopard alianza kuangaza macho katika bara la Afrika.

Mwaka 1878, Henry Stanley inasadikika alikutana na Dr. Livingstone katikati ya msitu wa mvua wa Kongo. Magazeti yaliandika habari hii ya kuwapongeza mashujaa hawa wawili kwa kugundua msitu wa Kongo lakini hakuna aliyeuliza wawili hawa walifuata nini kule.

Miaka michache kabla ya mkutano wa Henry Stanley na Dr. Livingston, Leopold II alianzisha African Society iliyoshughulika kuchunguza bara la Afrika na yeye akiwa mfadhili mkuu. Mfalme alipeleka zawadi nyingi kwa raia wa Kongo ikiwemo nguo na magari.

Mfalme Leopold II alifanikiwa kushawishi Congress iliyofanyika 1885 Berlin kuwa Kongo ni nchi huru. Utawala wa Leopold II ulikuwa wa ki dikteta na wa kutisha. Aliua maelfu bila kujali mradi walikwenda kuchimba dhahabu, kuwinda tembo ili apate meno. Wananchi walilimishwa mashamba makubwa ya mpira.
leopold-ii-amputated-hand.jpg

Vijana walilazimishwa kwenda kuvuna raba, aliyeleta kiwango kidogo cha raba alikatwa mkono kama huyo kijana kwenye picha,

Udhalimu uliyofanywa katika nchi huru ya Kongo ulikuwa mkubwa kiasi cha kuwapa hofu nchi nyingine za Ulaya zilizokuwa na makoloni Afrika.

leopold-ii-daughters-limbs.jpg

Huyu baba aliitwa Nsala, hapa anaangalia viganja na miguu ya binti yake wa miaka mitano aliyekatwa kama adhabu ya yeye kutokwenda kazini.

leopold-ii-whipping.jpg

Adhabu ya mwanaume ambae hakwenda kazini.
 
Leopard II alitawala Congo na ilijulikana kama nchi ilikuwa mali yake binafsi, miaka ya 1835. Tofauti na ilivyokuwa South Afrika kama koloni la Uingereza Congo ilikuwa nchi huru chini ya Mfalime Leopard II

Leopold_ii_garter_knight.jpg

Leopard alizaliwa katika familia ya kifalme mwaka 1835, ujana wake ulikuwa wa kawaida katika makuzi ya kifalme, alitumia muda wake mwingi kujifunza kuwinda, kulenga shabaha, alijiunga na jeshi na alimuoa motto wa mfalme wa Austria lakini hakuna aliyetegemea kua atakuja kuwa muuaji wa kushindana na Hitler.

Leopard II aliapishwa kuwa mfalme mwaka 1865 na alitawala Ubelgiji, ndoto yake kubwa ikiwa kuiona Ubelgiji ikiwa na koloni nje ya Ulaya kama ilivyokuwa kwa mataifa makubwa kama Uingereza, Ufaransa, Hispania na Ureno.

Jicho lake la kwanza lilikuwa kuichukua Ufilipino wakati huo likiwa koloni la Hispania. Alitengeneza dili na Malkia Isabella, lakini kabla ya makubaliano kufikia mwisho, malikia Isabella alipinduliwa. Leopard alianza kuangaza macho katika bara la Afrika.

Mwaka 1878, Henry Stanley inasadikika alikutana na Dr. Livingstone katikati ya msitu wa mvua wa Kongo. Magazeti yaliandika habari hii ya kuwapongeza mashujaa hawa wawili kwa kugundua msitu wa Kongo lakini hakuna aliyeuliza wawili hawa walifuata nini kule.

Miaka michache kabla ya mkutano wa Henry Stanley na Dr. Livingston, Leopard II alianzisha African Society iliyoshughulika kuchunguza bara la Afrika na yeye akiwa mfadhili mkuu. Mfalme alipeleka zawadi nyingi kwa raia wa Kongo ikiwemo nguo na magari.

Mfalme Leopard II alifanikiwa kushawishi Congress iliyofanyika 1885 Berlin kuwa Kongo ni nchi huru. Utawala wa Leopard II ulikuwa wa ki dikteta na wa kutisha. Aliua maelfu bila kujali mradi walikwenda kuchimba dhahabu, kuwinda tembo ili apate meno. Wananchi walilimishwa mashamba makubwa ya mpira.
leopold-ii-amputated-hand.jpg

Vijana walilazimishwa kwenda kuvuna raba, aliyeleta kiwango kidogo cha raba alikatwa mkono kama huyo kijana kwenye picha,

Udhalimu uliyofanywa katika nchi huru ya Kongo ulikuwa mkubwa kiasi cha kuwapa hofu nchi nyingine za Ulaya zilizokuwa na makoloni Afrika.

leopold-ii-daughters-limbs.jpg

Huyu baba aliitwa Nsala, hapa anaangalia viganja na miguu ya binti yake wa miaka mitano aliyekatwa kama adhabu ya yeye kutokwenda kazini.

leopold-ii-whipping.jpg

Adhabu ya mwanaume ambae hakwenda kazini.

Hakuna tofauti yoyote na unyama walioufanya Waingereza, Wafaransa, Wajerumani au sijui Wareno hapa Afrika, tofauti ni kwamba hiyo iko documented tu!
 
Kama unyama aliotendewa Lisu, SANDARUSI na MKIRU (by Zito Kabwe, Bungeni..380??)
 
Leopard II alitawala Congo na ilijulikana kama nchi ilikuwa mali yake binafsi, miaka ya 1835. Tofauti na ilivyokuwa South Afrika kama koloni la Uingereza Congo ilikuwa nchi huru chini ya Mfalime Leopard II

Leopold_ii_garter_knight.jpg

Leopard alizaliwa katika familia ya kifalme mwaka 1835, ujana wake ulikuwa wa kawaida katika makuzi ya kifalme, alitumia muda wake mwingi kujifunza kuwinda, kulenga shabaha, alijiunga na jeshi na alimuoa mtoto wa mfalme wa Austria lakini hakuna aliyetegemea kua atakuja kuwa muuaji wa kushindana na Hitler.

Leopard II aliapishwa kuwa mfalme mwaka 1865 na alitawala Ubelgiji, ndoto yake kubwa ikiwa kuiona Ubelgiji ikiwa na koloni nje ya Ulaya kama ilivyokuwa kwa mataifa makubwa kama Uingereza, Ufaransa, Hispania na Ureno.

Jicho lake la kwanza lilikuwa kuichukua Ufilipino wakati huo likiwa koloni la Hispania. Alitengeneza dili na Malkia Isabella, lakini kabla ya makubaliano kufikia mwisho, malikia Isabella alipinduliwa. Leopard alianza kuangaza macho katika bara la Afrika.

Mwaka 1878, Henry Stanley inasadikika alikutana na Dr. Livingstone katikati ya msitu wa mvua wa Kongo. Magazeti yaliandika habari hii ya kuwapongeza mashujaa hawa wawili kwa kugundua msitu wa Kongo lakini hakuna aliyeuliza wawili hawa walifuata nini kule.

Miaka michache kabla ya mkutano wa Henry Stanley na Dr. Livingston, Leopard II alianzisha African Society iliyoshughulika kuchunguza bara la Afrika na yeye akiwa mfadhili mkuu. Mfalme alipeleka zawadi nyingi kwa raia wa Kongo ikiwemo nguo na magari.

Mfalme Leopard II alifanikiwa kushawishi Congress iliyofanyika 1885 Berlin kuwa Kongo ni nchi huru. Utawala wa Leopard II ulikuwa wa ki dikteta na wa kutisha. Aliua maelfu bila kujali mradi walikwenda kuchimba dhahabu, kuwinda tembo ili apate meno. Wananchi walilimishwa mashamba makubwa ya mpira.
leopold-ii-amputated-hand.jpg

Vijana walilazimishwa kwenda kuvuna raba, aliyeleta kiwango kidogo cha raba alikatwa mkono kama huyo kijana kwenye picha,

Udhalimu uliyofanywa katika nchi huru ya Kongo ulikuwa mkubwa kiasi cha kuwapa hofu nchi nyingine za Ulaya zilizokuwa na makoloni Afrika.

leopold-ii-daughters-limbs.jpg

Huyu baba aliitwa Nsala, hapa anaangalia viganja na miguu ya binti yake wa miaka mitano aliyekatwa kama adhabu ya yeye kutokwenda kazini.

leopold-ii-whipping.jpg

Adhabu ya mwanaume ambae hakwenda kazini.
His name was Leopold not Leopard
 
Ww jamaaa unawaza kutumia makalio au kichwa maaana hujui ulisemalo
Makalio anatumia mama yako kufikir, Ukinitukana nitakutukana bila kujali lolote! Jibu hoja kwani lazima utukane. Mkiru haipo? Issuwe ya Lisu haipo? Jibu hoja
 
Wacongo wamejazana Ubelgiji,siamini Kama wanaishi kwa amani ndani ya nchi iliyowatendea unyama namna hii,nakumbuka siku moja nilikuwa pale Gare du midi mara nikamsikia mzungu alcoholic anasema Wabelgiji ni wezi waliibia Congo Zaire madini na kuiacha Congo ikiwa na matatizo mpaka leo.Yule mzungu alikuwa anasema ukweli mtupu.Brusels kuna hadi mtaa unaitwa Matonge pale ni Wacongo wamejaa dah kumbe ni ndani ya nchi iliyowanyanyasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom