Abbitto
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 547
- 744
Anyway atakavyoona yy inafaaMkuu trust me kunguni humuui kwa chemicals.
Wale wadudu ni wagumu kufa sijapata kuona...mimi nimepambana na kunguni kwa njia zote nimekuja kuwapiga kwa njia ya maji ya moto tu