Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,174
Soma vizuri mkuu nilichoandika, unaweza ukawa msafi ila kuna wachafu wengine wametumika kuzalisha kunguni na ndio maana wakawa transfered kutoka kwa washikaji wako kuja kwako maana kama wangekuwa wanajielewa wewe usingewapata...ni sawa na tunapoambiwa ukiugua kipindupindu ni kwamba umekula mavi na sio wote wanaougua kipindupindu wamekula mavi directly bali alisalimiana na mgonjwa ama katika kumhudumia mgonjwa akajikuta ameukwaa ugonjwa kwa bahati mbaya. Ndivyo na kunguni hivyo hivyo kuna watu wamejenga mazingira ya kunguni kuwa sehemu ya maisha yao na mwisho wa siku wanafanya kuwahamisha...kunguni akiwepo ndani kwanza shuka tu zinachoka na kama mtu amekaa nao mpaka anakuletea wewe unadhani hilo gheto lake likoje mkuu kama sio chafu (uchafu sio lazima kuoga kila siku hata kurundika nguo, kuweka viatu ovyo nakadhalikaMkuu mi sijawah kuwa hata na nzi wala mbu geto kwangu wala mende, na nilikua bishoo ila najua kuna mpuuzi mmoja tu alikuja nao tuu maana siwez kujua ntawazalishaje mwenyewe na niliishi home fresh tuu tangu nazaliwa ndo nije kuwa nao ukubwani, theory ya uchafu ni uongo, maana nakumbuka utotoni sikuwa msafi, na boarding nimesoma sijawaona, na chuo hosteli sijawaona ndo nimekuja kuwaona baada ya kupanga uswazi na kukaribisha washkaji tu wanachill wanacheki muvi nini wanaenjoy mara haaaooo,
Sent from my TECNO W1 using JamiiForums mobile app