Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

Dawa ya kunguni ni kubomoa nyumba kisha hamisha kifusi chote, itisha mkandarasi muanze ujenzi mpya 😂
You will thank me later.
 
Nakumbuka nilikujaga hapa kuomba ushauri juu ya hawa wadudu wahuni kabisa kupata kitokeo kwa usumbbufu

Baada ya kuhangaika na dawa mbali mbali bila mkakati walikua wanaonekana tena baada ya wiki kadhaa

Kuwamaliza nilifanya hivi

Nilianika godoro wiki nzima juani kisha nikanyunyizia maji ya sabuni

Nikamwagia mchanganyiko wa maji na sabuni ya unga na mafuta ya taa na chunvi kisha nikamwagia nyumba nzima kwa kutumia solo, lile bomba la kunynyizia dawa

Nililoweka nguo zangu zoooote ikiwemo mashuka, mapazia, net kwenye sabuni ya unga siku 2

Nikakaa wiki 2 nikarudia zoezi la kunyunyizia mchanganyiko wangu kwa kupiga nyumba nzima tena

Baada ya hapo sijawaona tenaaaa
 
Ya kweli hayo maana kwenye sofa langu wapo wengi nahangaika nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sofa zangu ni za kitambaa cha plastic mtaani tunaita leather
Nilipulizia mchanganyiko wangu mara 2, nilirudia baada ya wiki. sofa zililoana haswa haswa
Yaani jiongeze hadii uone hapa kweli dawa imefika kila kona ya sofa
Ni vizuri ukapiga dawa kisha ukarudia tena maana inaonekana mayai ni magumu kufa kwa dawa
So puliza kisha kaa wiki vitoto vikianguliwa piga tena
Ya kweli hayo maana kwenye sofa langu wapo wengi nahangaika nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye kitambaa cha plastic nimecheka sana
 
Nenda kariakoo uliza Dizon ikishindwa njoo hapa Sumbawanga nikupe dawa nyingine kutoka Kwa babu yangu
 
Ubarikiwe
 
Hakuna dawa ya kunguni nzuri kuliko mazingira ya usafi. Utapiga dawa za makemikali lkn kama mazingira ni machafu watarudi tu. Ni kama panya. Kama nyumba na mazingira yanayoizunguka ni safi. Forget panya. Kama mazingira ni machafu hata upige DDT utakula sumu mwenyewe
 
Hapo kwenye kitambaa cha plastic nimecheka sana
Kama mm,
Kitambaa cha plastic halaf leather tenaa?
Wabongo tunapigwa hv hv...

Baaabeki sofa ya pure leather Bongo hapa sidhan km hata ikulu zipo kwa bei yakee...
Kiatu tuu cha leather chini ya angalau 300k hupat...

Anyway
Aisee mm sidhan km kunguni hawa wadudu wanatokomezeka kbsa...
Nijuavyo unawapunguza tuu sio kuwamalizaa...

Nani anakumbuka skendo ya British Airline ya mwaka 2017-2018?
Abiria mmoja tuu kutoka ghana alipanda na kunguniii...
Unajua nini kilitokeaa?

Kwanza walianza kujaa ndege nzimaa,
Baada ya hapo wakashuka airport,
Then wakasambaa kwenye ndege nyingnee,
Kilichofuatia wakaanza kudakia abiria kuelekea majumbaniii....

Ni ndani ya miezi kazaa Wazee walisambaa london yote na miji ya karibuniii.

Wakajaribu kufukia fukia skendo ili ndege zao zisiharibu sokoo...
Wakafanikiwa kwa mdaa...


Inshu ikazinduka pale Abiria wao mmoja alipopanda ndege kwenda SA kwenye mapumzikoo,
Alooo anatua cape town amekula bites zaidi ya 120,
Na zile rangi zao ukimchek km fenesiii...

Waingereza walipambana sana bila mafanikioo,
Sidhan km mpk leo wamefanikiwaa.

Wale wadudu hawajui lolote zaidi ya kufyatuaaa watoto, hata umpasue hapa unaonaa...
Anakata roho huku anafyatua mayaiii

Wakitua kwako ni ndani ya week tuu wanaingia mpk masikionii.

Usijiulize ulimbebea wapi,
Usijiulize ulibeba wangapi,
Usijiulize Ulibeba dume au jike,
Usijiulize alikua na mimba au laa,

Kuna mtu hapo juu kaongea km utani lkn hawa jamaa kiutani utani hvyo hvyoo wanaweza wakufanye utoroke nyumb yako mwenyewe hv hv.
Wana roho ngumu sijapata onaa...

Nina experience kubwa sana naoo
advance hawa jamaa wametusumbua sanaa...
Mnaunda timu kbsaa kuwaangamiza,

Subr usiku uoneee.....
Kuna jamaa yetu waliingia mpk sikionii
mpo class anajipiga mabao kumtuliza kama kichaa..

BTW nawashukuru walinisaidia sana kutoboa lile li Comb,
Mpk tukahisi walimwagwa ili kutuamsha usiku kusoma kilazimaaa...
Maana ilikua ukiweza kulala masaa mawili Bila kushtuka wewe labda huna damu...

Piga ua utaamka kusoma bila kutakaaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…