Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

Watafute MI fumigation contact 0766006509/0655166597watakusaidia wanapiga kaz nzur Sana
 
Hii inaweza kuwa mbaya kwa afya ya wanaoishi kwenye ile nyumba. Tuwe waangalifu sana wakati wa kutumia dawa za kupuliza. Ubaya wake ni kuwa madhara hayaonekani pale pale bali huchukuwa muda mrefu.
 
Habari wakuu!. Naomba msaada kwa anayejua dawa ya kumaliza kunguni kwa haraka. Msicheke nafanya usafi wote lakini bado nimepulizia rungu wapi, nasijui niliwatoa japo nna wasiwasi na kwenye basi moja la mkoani.
Chukua sabuni ya unga hasa erio changanya na chumvi nyingi kisha paka kila sehemu

Mkuu zinakufa papo kwa hapo na hiyo dawa haina madhara hata kwa watoto
 
Mimi iko siku nilitoa kitanda nikakipulizia dawa nikasafisha chumba pamoja na cha watoto wangu kazi hiyo ilichukua weekend yangu nzima

Vitanda nikahamishia Stoo godoro nikaliweka chini huku nikijisemea moyoni kwangu kuwa kiama chao kimewafikia

Nikalala kwenye godoro kama wiki hivi kabla ya usiku mmoja wa Mvua Tandu akaniingilia kwenye shuka na kuning'ata sintosahau maumivu yale
 
Pole mkuuu hao viumbe ni hatari
 
Tandu aling’ata sehemu gani?
 
Hao nilipambana nao sana Studio! Mpaka leo nimetoa masofa na proof ni mwendo wa mabenchi na wateja wakitoka nayatoa kwanza hadi nifanye upembuzi yakinifu maan hawa wadudu pumbav sana hawategemeani kuzaliana akishiba damu tuu anataga.

Dawa isiyo rasmi ila inawapunguza sana kama sikuwamaliza.
Chukua mafuta ya taa kama ni nusu lita ongeza na maji kidogo tuu hata kikombe cha chai kidogo mix na sabuni ya unga ya kiasi haitazidi wala kupungua then paka kwenye fenicha kona zote kipindi hiko ndani umetoa nguo zote na kuzifua upya huku ukiziacha kwa kamba hata siku mbili tatu.
 
Nasikia tandu wanafata mende chumbani
 
Nasikia tandu wanafata mende chumbani
Kwa sababu ulikuwa ni usiku wa Mvua nadhani edha alikuwa anakimbia maji au alikuwa kwenye mishemishe zake kitu ambacho kama ningelala kwenye kitanda changu kama kawaida yangu tusingekutana.

Ila usiku ule sikulala nikawa najuta kivyangu
 
Kwa sababu ulikuwa ni usiku wa Mvua nadhani edha alikuwa anakimbia maji au alikuwa kwenye mishemishe zake kitu ambacho kama ningelala kwenye kitanda changu kama kawaida yangu tusingekutana.

Ila usiku ule sikulala nikawa najuta kivyangu
Alining'ata sikioni nikiwa nimelala sitasahau aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…