Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Utaishia kuweka picha mpaka basi..
Mbona unalalamika ?

Nyingine hiyo hapo mnaabudu kinyago
deefbc7c1db7f09eb8a3b6242277c925.jpg

YHWH IS GOOD
 
Mbona unapaniki ?
Unataka kukimbia mada?

Kuhusu jina YHWH unapotoka hilo lipo ktk tanakh ya kiyahudi acha kukurupuka usifananishe na neno Yahwe,

Rudi kwenye mada ,jitetee Je ROMA SIO KAHABA MKUU ?
Nimeku-mention kwenye uzi kule....

Hivi umeona kuna sura za kukimbia uzi wa kipuuzi nama hii....yani zero kama wewe unayejua ku-copy na ku-paste unajiona unaweza kuleta mada ikakimbiwa..

Mbona nyie ndio mnakimbia mlichokuanzia...mito huu utawachoma nyie wenyewe
 
Cheza na Gematria hiyo..

Pinga kuwa siyo kweli
Pili, abishe kwamba gematria
E L L E N G O U L D W H I T E
0+50+50+0+0 + 0+ 0+5+50+500+10+0+1+0+0 = 666 si hesabu sawa.
Hahaaa unajitekenya na kucheka
aa969255eb1e7383177e45ce3d035039.jpg
8440564edc5e9cebeba9f9c522aa375c.jpg

605849a1cf532628d0d97998c1910425.jpg

Mnyama aliwatesa watakatifu wa Mungu.
Rumi ilifanya mauaji ya kutisha katika kipindi cha mfalme Nero na Constantine, pia UPAPA uliongoza mauaji ya kikatili yasiyoweza kuelezeka kuanzia mwaka 538 hadi Mwaka 1798. Ikiwa ni jumla ya kipindi cha miaka 1260 watakatifu wa Mungu waliuawa kikatili wale wote ambao walikuwa waaminifu na watunzaji wa amri za Mungu pamoja na neno lake. Mauaji hayo yalifanywa chini ya Kiongozi wa kanisa katoliki St. Bartholomew na yalijulikana kama BARTHOLOMEW MASSACRE.
Mnyama amekaliwa na Mwanamke Kahaba.
Mpaka sasa hakuna kanisa lolote duniani linalomiliki nchi yake isipokuwa Catholic Church ambapo inamiliki nchi ya VATICAN na raisi wake ni Kiongozi wa juu kabisa wa kanisa hilo yaani PAPA.
Aliazimu kubadili majira na sheria.
Kanisa katoliki ndilo lililobadili kalenda na nyakati mpaka sasa inatumika ulimwenguni kote. Mamlaka ya kipapa yalibadili siku 30 za kila mwezi kama mpango wa Mungu na kuweka mpango wa mwezi kuwa na siku 28,29,30,31 Ikiwa ni kuendesha ibada za miungu na hata majina ya miezi asili yake ni majina ya miungu mfano JANUARY (ni muungu JANUS) n.k

YHWH IS GOOD
 
Nimeku-mention kwenye uzi kule....

Hivi umeona kuna sura za kukimbia uzi wa kipuuzi nama hii....yani zero kama wewe unayejua ku-copy na ku-paste unajiona unaweza kuleta mada ikakimbiwa..

Mbona nyie ndio mnakimbia mlichokuanzia...mito huu utawachoma nyie wenyewe
Njoo hapa

Unataka kukimbilia wapi ewe muabudu sanamu

Malizana hapa , unanilazimisha , hahaaaaaaaaaa

NJOO HAPA HAPA UELEZE KUHUSU KAHABA MKUU ROMA

unataka kunipangia uzi za kupitia,

Huu mpaka mod waufunge
b97f07950f0a72407865cddeeb8cf6df.jpg

YHWH IS GOOD
 
"Malta Archbishop Charles Scicluna told a church community recently: "We are not against gays... But we do not need to change the way in which God created marriage to enable us to say that two men or two women can get married."
umesoma BBC link au umekurupuka tu ??

wewe mtu kama tu LUGHA MALKIA INAKUSUMBUA
Lugha ya kanisa kilatini utaiweza ?????????

huwa nakushangaa sana unapotufafanulia kwa kiswahili nUkukuu kibao hadi mpaka pages za baadhi ya vitabu vya kanisa katoliki tena vilivyopo kwenye lugha ya kilatini,

HUWA NAWAZA TU KAMA KIINGEREZA KINAKUSUMBUA KIASI CHA KUSHINDWA HATA KUWAELEWA BBC, ulijifunzia wapi kilatini kiasi cha kuweza kufafanua vitabu vya kanisa katolki ??????????????

hongera kwa phd yako ulionayo...........

NITARUDI..........................

nakutakia propaganda njema.........................

OVER
 
Leo nimeamini hawa jamaa wamebanwa kwelikweli ila kwa kiburi chao hawataki kuukubali ukweli na kuufuata.
Ndio wanazidi kujiaibisha na watu wanaiona nuru maana mimi nitawafanya ubao watu wawatambue

Hata asiyeenda shule huwez kumdanganya uf 13 ni egw

YHWH IS GOOD
 
Cheza na hesabu hii

Pili, abishe kwamba gematria
E L L E N G O U L D W H I T E
0+50+50+0+0 + 0+ 0+5+50+500+10+0+1+0+0 = 666 si hesabu sawa.
Wewe tumia akili usiwe kama mtoto asiyejitambua,kwa akili zako finyu unabii uliopo kwenye ufunuo sura ya 13 unaendana na ellen g white?
Unaelewa maana ya mnyama kutoka baharini?
Ni lini Ellen g white alifanya vita na watakatifu
Ni lini ellen g white alimtukana Mungu
Ni lini ellen g white alishurutisha mtu amsujudu
Ni lini ellen g white alilazimisha watu waiabudu sanamu(jumapili).
SIFA HIZO ZINAENDANA NA KANISA MAARUFU SANA HAPA DUNIANI AMBALO LILITESA NA KUUA WATUNZA SABATO KATIKA ZAMA ZA GIZA[538-1798] YAANI MIAKA 1260
LINGANISHA HISTORIA INAVYOSEMA NA MTU HUSIKA SIO KUPACHIKA MTU TU ASIYEKIDHI HATA CRITERIA MOJA,HAPO UNAONESHA HUFAHAMU HATA CHEMBE KUHUSU UNABII.

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Yaani hawa jamaa ndio wanazidi kudhihirisha kuwa ni watupu

Sasa mimi nitwatumia kama ubao kufundishia wengine

YHWH IS GOOD
 
Mbona unalalamika ?

Nyingine hiyo hapo mnaabudu kinyago
deefbc7c1db7f09eb8a3b6242277c925.jpg

YHWH IS GOOD
Walivyo na mtindio wa ubongo watakwambia hapo hawaabudu sanamu ila wanaziheshimu tu. Yaani ukisijudia sanamu akili yote inahama unakuwa kama ze
Yaani hawa jamaa ndio wanazidi kudhihirisha kuwa ni watupu

Sasa mimi nitwatumia kama ubao kufundishia wengine

YHWH IS GOOD
Na kweli wanafaa sana kutumika kama ubao. Padri wao kawaingiza chaka wote wametumbukia.
 
Ndio wanazidi kujiaibisha na watu wanaiona nuru maana mimi nitawafanya ubao watu wawatambue

Hata asiyeenda shule huwez kumdanganya uf 13 ni egw

YHWH IS GOOD

Unayafahamu mauaji makubwa yaliyosababishwa na Nabii Mke Ellen G White....(The Great Disappointment)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom