Mfahamu Jenerali Ulimwengu, a True Pan-African Legend

Wacha ujinga, meze ulimwengu hakuwa raia kwa sababu babaake hakuwa raia ulimwengu alipozaliwa na mzee ulimwengu bila ya kujuwa alipofikisha umri wa miaka 18 hakuomba uraia wa TANZANIA kwa hivyo ni technical issue tu.
Wewe ni raia au mwarabu?
 
Tuwekee na za "supika" Job Ndungai , wetu tufanye komparizoni.
OIP.YgfHXVEm1Td178kEaKXa3AAAAA
 
Ulimwengu li-CCM zoefu lilishoshindwa kufikia ndoto zake za juu baada ya kutumikia ubunge, udc na ujumbe wa kamati kuu hata baada ya mfumo wa mageuzi kuja. Likabaki na hate ya aina yake kwa Mkapa na baadae kwa Magu
Wewe umelishwa chuki za kichawi.
 
Ndugai kiburi cha madaraka kimempanda mpaka anafikiri yuko sawa na Rais. Kwa maneno yake ya hivi karibuni kuhusu wanawake wenye madaraka ameonekana kusema Rais kiaina. Sijui ana malengo gani au anajiamini kiasi gani..!!?
tangu huyu jamaa aingie bugeni kama spika, nikilinganisha na mama makinda, najisemea mwenyewe sijui lini tutapata spika kama yule. huyu hata alipokuwa anakaimu uspika alikuwa anavurunda mno, ajabu yake akaja kuupata wenyewe na tumeishi naye miaka yote hii. too bad.
 
Huyu mzee amebaki na gubu na kisirani baada ya kuachwa na serikali. Ni vizuri unapomaliza uongozi ubaki kuwa mshauri mzuri sio kubaki na chuki na hila kwa waliobaki kuwa viongozi.
 
Tuwekee na za "supika" Job Ndungai , wetu tufanye komparizoni.
Itungwe sheria kiongozi wa mhimili wowote atengenezewe wasifu kabla ya kufa kuliko kusifiana mtu akifa au kumsema vibaya akifa.
G.Ulimwengu ameanzisha wasifu wa Uzuzu wa subfer.
Heading iwe ZUZU NO 1 then tiririka kwa ushahidi
 
Huyu mzee amebaki na gubu na kisirani baada ya kuachwa na serikali. Ni vizuri unapomaliza uongozi ubaki kuwa mshauri mzuri sio kubaki na chuki na hila kwa waliobaki kuwa viongozi.
mhhh huu ugoro labda umdangaye beki tatu wa dada yako hapo kwa shemeji yako.

Yani Jenerali ulimwengu atolee macho nafasi za uteuzi serikalini??????

Aisee utakua humjui Jenerali Ulimwengu.
 
endapo ahemed rajab na jenerali ulimwengu wakifariki hatutapata Tena wapi taarifa ngumungumu na tamu zakusisimua

Hawa wote watoto wa nyerere ,rajabu anasemaga mzee nyerere alikula njugu mpaka zinaisha akiwa hapohapo
 
Mkapa huyo,baada ya kuuza nchi kuliko mangungo,ulinwengu akimwandika saana,Akaona amnyang'anye uraia
Wanyangara wengi ni warundi, wanya rwanda!! Lkn Nyakato shule yangu ile! Migomo kma kawa!! km kweli alisoma pale anipe habari za ''Nyamshengoma!'' Anapajua? Hamgembe! kasusura . Kaihyoza, Milambo, shamba la Magindu analijua huyu?? Siku ya Gulio katerelo karbu na Muheza anapajua huyu? haya yapo, mpaka kesho!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom