Mfahamu Jenerali Ulimwengu, a True Pan-African Legend

Wacha ujinga, meze ulimwengu hakuwa raia kwa sababu babaake hakuwa raia ulimwengu alipozaliwa na mzee ulimwengu bila ya kujuwa alipofikisha umri wa miaka 18 hakuomba uraia wa TANZANIA kwa hivyo ni technical issue tu.
Kwani kuna aina ngapi za uraia bosi
 
Usisahau pia kuwa aliwahi kuzushiwa kuwa sio raia wa Tanzania
Sio alizushiwa hakua raia halali wa tanzania hadi alipoomba uraia. Alikuja nchini kama mkimbizi kwenye wimbi la wanyarwanda waliyokua wanakimbia machafuko nchini kwao 1959.
 
Picha hizi zinaweza kukupa angalau mwanga wa aina ya Mtu ambaye Ndugai anajaribu kupambana naye .

Hapa akiwa na Muamar Gaddaf enzi za Uhai wake

Mpeni_taarifa_Job_Ndugai_kwamba_kushoto_mwa_picha_hii_ni_Jenerali_Ulimwemgu_akiwa_na_Hayati_Mu...jpg

Hapa chini akisaidia kupatikana kwa Uhuru wa Msumbiji

Kuna_watu_wanajua_kukera_aisee%F0%9F%98%82%F0%9F%98%82%F0%9F%98%82%3F.jpg

Taarifa za uchunguzi zinaeleza kwamba hajui lolote kuhusu Neno lao la ATAKE ASITAKE ALAZIMISHWE .

Mpeni_taarifa_Job_Ndugai_kwamba_kushoto_mwa_picha_hii_ni_Jenerali_Ulimwemgu_akiwa_na_Hayati_Mu...jpg
 
Ulimwengu hakuzaliwa Ngara Tanzania. Uraia wa nchi hii aliuomba na akafanikiwa kupewa na idara ya uhamiaji
Mkapa mmawia wa msumbiji!! Nyerere-Mkenya! kikwete Mzulu! hayaaa! ngoma droo! ! mkisema sema tu!! uraia utakuta hata weye ni mkame roon! jamani Binadamu wote ni sawa na africa ni moja kwani hamkusoma nyie? watu!

kwanza sisi wabantu mipaka hii tumewekewa na hawa Nephilims hawa!! hkn mwafrica hata mmoja alieenda huko Berlin! tatizo lenu shule ndogo
 
Ulimwengu li-CCM zoefu lilishoshindwa kufikia ndoto zake za juu baada ya kutumikia ubunge, udc na ujumbe wa kamati kuu hata baada ya mfumo wa mageuzi kuja. Likabaki na hate ya aina yake kwa Mkapa na baadae kwa Magu
Ulimwengu alikuwa mpambanaji ndani ya CCM. Enzi hizo chama kilikuwa kimoja tu, lakini bunge enzi za kina Jenerali lilikkuwa bunge la hoja. Unakumbuka G-55? Sasa hivi nchi ni ya "Demokrasia ya vyama vingi", lakini angalia jinsi lilivyooza kabisa. Wabunge mazuzu ni kuimba mapambio tu.
 
Mkapa mmawia wa msumbiji!! Nyerere-Mkenya! kikwete Mzulu! hayaaa! ngoma droo! ! mkisema sema tu!! uraia utakuta hata weye ni mkame roon! jamani Binadamu wote ni sawa na africa ni moja kwani hamkusoma nyie? watu!

kwanza sisi wabantu mipaka hii tumewekewa na hawa Nephilims hawa!! hkn mwafrica hata mmoja alieenda huko Berlin! tatizo lenu shule ndogo
Tatizo wala siyo shule ndogo. Tatizo tumbo limepewa kipaumbele, unafiki na mediocrity.

Yaani watu hata hatujui PANAFRICANISM ni kitu gani. Eti fulani siyo raia! Sisi wote ni waafrika
 
Ulimwengu alikuwa mpambanaji ndani ya CCM. Enzi hizo chama kilikuwa kimoja tu, lakini bunge enzi za kina Jenerali lilikkuwa bunge la hoja. Unakumbuka G-55? Sasa hivi nchi ni ya "Demokrasia ya vyama vingi", lakini angalia jinsi lilivyooza kabisa. Wabunge mazuzu ni kuimba mapambio tu.
Walipambania nini zaidi ya kusaka vyeo vipya kupitia hoja ya serikali tatu?
 
huyo alisoma chuo cha maliasili (wanyama) tu basi. sitaki kuendelea asije kuniongelea bungeni kesho. ingekuwa ndio kisomo cha siku hizi tungeita alisoma "musoma utalii".
Inaitwa "terrorism"...alisikika Shahid moja wa Jamhuri kesi ya Mbowe
 
JENERALI ULIMWENGU alizaliwa tarehe 4 Aprili 1948 huko Ngara, Mkoa wa Kagera nchini Tanzania. Alisoma shule za Kamachumu, Katoke na Nyakato mkoani Kagera na sekondari mkoani Tabora kuanzia mwaka 1955 hadi 1968 na alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki wakati huo mwaka 1969 hadi 1972.

Chuo Kikuu, Ulimwengu alikuwa mmoja wa wanafunzi wenye itikadi kali wanaharakati wanaounga mkono sababu zinazoendelea za ukombozi wa Afrika na ukombozi wa binadamu. Baada ya kuacha Chuo Kikuu, akawa mwanachama hai wa chama tawala, kisha TANU (Tanganyika Afican National Union) na baadaye CCM ('Chama cha Mapinduzi') kama maelezo mafupi yafuatayo ya utumishi wake baada ya mwanafunzi:

Mnamo Novemba 1993, Ulimwengu ambaye ni Mwenyekiti wa Habari Corporation, pamoja na wanahabari wengine waliojitolea, walianzisha gazeti la kwanza la kila wiki la Kiswahili linaloitwa Rai, ambalo mara moja lilijizolea umaarufu mkubwa na kuwa gazeti la habari la kuhabarisha, uchunguzi, uchambuzi na bila woga nchini. Mnamo Septemba 1995 na Februari 1998, mradi wao wa uchapishaji ulizindua gazeti la kila siku la Kiswahili, Mtanzania na la Kiingereza la kila siku la Kiafrika mtawalia.

Biashara yao ya uchapishaji pia ilimiliki magazeti mawili ya michezo kufikia wakati huu. Katika haya yote, Jenerali Ulimwengu aliendesha safu binafsi, ambazo zilisomwa na kuthaminiwa sana kwa nafasi zao za uzalendo na maendeleo. Ulimwengu hakuvuta makonde katika kuchukua misimamo ya kukosoa, bali ya kujenga, dhidi ya wanasiasa kwa maslahi ya wanyonge, wasiojiweza na wanaotengwa na nchi, bara na dunia.

Magazeti ya Ulimwengu yamekuwa yakiongoza kwa kuibua baadhi ya maovu katika jamii yetu yakiwemo ya ufisadi na kashfa ndani ya Serikali. Si ajabu, katika harakati za kutafuta na kufichua ukweli na kutumikia maslahi ya nchi yake na bara la Afrika, shughuli za Ulimwengu bila kukwepeka na bila kukusudia zimekuwa zikikanyaga vidole vyake vya nguvu, hivyo kupata hasira za wanasiasa wachache wanaonusurika kwa vitendo vya kifisadi na siasa za upendeleo(nepotism).

View attachment 2007836

Jenerali Ulimwengu akiwa na Rais wa zamani wa Msumbiji, Samora Machel.
Ndugai ni mgonjwa mwingine wa akili aliesalia hana kesi huyo,shauri yenu🏃‍♂️
 
Jenerali ni Jabali, moja ya watanzania wazalendo wa kweli wa nchi hii, wachache sana. Anastahili kupewa tuzo ya kitaifa.
Anasimamia ukweli, haki, Uhuru wa maoni na Demokrasia. Hongera Sana Jenerali Twaha Ulimwengu
 
Wacha ujinga, meze ulimwengu hakuwa raia kwa sababu babaake hakuwa raia ulimwengu alipozaliwa na mzee ulimwengu bila ya kujuwa alipofikisha umri wa miaka 18 hakuomba uraia wa TANZANIA kwa hivyo ni technical issue tu.
Eti technical issue! Kwa hiyo kama asingemkosoa Mkapa hiyo technical issue isingekuwepo? Semeni ukweli, tabia hii mbaya ya kuvua mtu uraia kisa anakosoa serikali, ni mambo ya AIBU.

Hivi unajua kwa vipi Nyerere hakuwahi kufanya ujinga huu? Anaamini katika Pan-Africanism kiukweli. Hii habari ya fulani Mnyarwanda, Mkenya, waliotuambia ni wakoloni. Kama humpendi mtu, tafuta namna ingine ya kumalizana naye, siyo mbinu hizi za kishamba.
 
Back
Top Bottom