Nimewahi kufika hiki kijiji, kuna stori za mauza uza sana hapo.Alikuwa ni Mmanyafu, kabila dogo Sana linalopatikana kwenye mpaka wa wilaya ya Rungwe na Ileje Kijiji Cha Ikuti.
Kijijini hapo unapita mto Songwe/Kiwira...
Unamkumbuka Mzee Miraji wa Joka Road? Alikuwa na nyumba yake mtaa huo, nyumba ilikiwa na mahindi yamelimwa na yametoa mbelewele, Sasa kukawa na jamaa wanachunga ng'ombe,Umenikumbusha mbali sana! Kuna jirani yetu alichanjwa, kupitia ukuta uliokuwa nyumbani kwetu.
Dawa, ilikuwa kupaka maji ya malimao. Hivyo, tulimnunulia pale REJIKO sokoni.
Nakumbuka pia, kuna jamaa watatu walikurupushwa ule mtaa aliokuwa anaishi Mzee Mwangoka (tulikuwa tunamuita MKUBWA WA TANU),kwa mayowe kuwa WACHANJAJI!..
Enzi za Uboyzin Iyunga Tech Lumbila tunaenda kula vitumbua kwa mama DopplerDuuh mbeya noma sana
Siku hizi wsmestaarabika sana .
Ila nimemisi sana mitaa yangu ya nzovwe,itigi,lumbila,iyunga na kalobe
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh mbeya noma sana
Siku hizi wsmestaarabika sana .
Ila nimemisi sana mitaa yangu ya nzovwe,itigi,lumbila,iyunga na kalobe
Nimepita pale enzi kisusangeDaaah Lumbila.
Mkuu umenikumbusha hiyo mitaa back then wakati nasoma iyunga ndo tulikuwa tunaenda kufata mademu hyo mitaa .Pamoja nakule juu ikuti.
Enzi za Uboyzin Iyunga Tech Lumbila tunaenda kula vitumbua kwa mama Doppler
Hii stori niliwahi isikia enzi hizo mbeya wanasema ni Mbalizi road ilitokeaBujibuji mwaka 2001 kuna ajali ilitokea Mbeya wakafa watu wote halafu baada ya ajali mtu mmoja akawa anaokota ubongo wa hao Marehemu anatia kwenye mfuko...
Vilikuwa low quality comparing vya mtaipistiMama Doppler hakuwa Lumbila, yeye alikuwa shuleni pale pale... Lumbila ni full vitumbua na viwese vya bei chee vya ngano isiyokobolewa.
Unajua hilo eneo ndio linaongoza kwa maajabu ina mambo makubwa kuliko jina lakeAsante kwa maboresho, nakuaminia Sana Mndali wangu
Halafu sio maarufu kabisaUnajua hilo eneo ndio linaongoza kwa maajabu ina mambo makubwa kuliko jina lake
Wali kwa mama Moni, au mihogo kwa bi mkubwa fulani ana mikono imekomaa CR7 mremboMama Doppler hakuwa Lumbila, yeye alikuwa shuleni pale pale... Lumbila ni full vitumbua na viwese vya bei chee vya ngano isiyokobolewa.
Hee!!?ππ€π€π₯π€π€π€π€π€π€π€Dah!..kumbe jamaa kafa,nikajua ni mzima niombe autograph yake.
ni kweli ila kwa watu wa huu ukanda hatuwezi kutangaza vivutio vyetu ili tuweze kupata watalii na kuweza kujulikana zaidi kimataifaHalafu sio maarufu kabisa