Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

Tulikuwa tunaogopa sana kupita njia hiyo.uyo jamaa alitufanya watu wa nzovwe (jkt,),tuliokuwa tunapita shotcut kwenda docks(mwanjelwa),tupite rami kama magar
 
Yuko sahihi.Mama Doppler aliishi Lumbla nje kidogo ya shule baada ya Doppler kuwa mkuu wa shule huko Mbozi.
 
lol
 
Mkuu samahani, hivi ni banamanyafu au walamanyafu? Jina lilitokana na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…