hahaaaaa ...daahhh kuna mjengo hapo nimeuona "" aiseee ni balaaImeisha amekamatwa yuko ndani japo kalalamika kuwa gerezani kawekwa sehemu moja na vibaka wa kawaida... Alitaka kupewa special VIP treatment
ahahahhahaha ANAJUA THAMANI YAKE jamani!Imeisha amekamatwa yuko ndani japo kalalamika kuwa gerezani kawekwa sehemu moja na vibaka wa kawaida... Alitaka kupewa special VIP treatment
HUYU NA KIBAKA WA KUKU WOTE DHAMBI ZAO ZINAHUKUMIKA KWENYE AMRI YA USIIBE NA USITAMANI MALI YA MTU MWINGINE!Makazi yake cape town View attachment 819829