Laurence
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 3,104
- 426
Wala usijali Mjenda Chilo,Kongwa yote na vijiji vyake kama Mbande,Chamae,Hogoro,Banyibanyi,Songambele,Zoissa etc wameanza kuelewa nguvu ya CDM kwani mpaka 2014 utasikia mengi juu ya kukataliwa kwa MagambaChadema kongwa na mpwapwa mkiweza nitaamini maana kwa kumbukumbu zangu za karibu inawezekana Ccm ndo chama maarufu ambacho ukiacha wabunge JK alipata over 90% ya kura zote. Ngoja tuone